Ifahamu bangi na madhara yake

Hoja zenu dhaifu na hazihalisiki ukilinganisha na za upande wa pili.

Ni upotoshaji tu!
 
Hoja zenu dhaifu na hazihalisiki ukilinganisha na za upande wa pili.

Ni upotoshaji tu!
Wewe ni zwazwa kwelikweli halafu unasapoti bangi uchafu huu unaoitesa jamii na familia za watu kila siku.Jitafakari
 
Nashauri tuache yale makapi sio salama, mjani wa manabii na mitume huo umependeza bustanini karibia mwaka wa 30 huu naburudika roho na nafs hayo ya majani ya maboga yakiwekwa karanga kwa ugali wa dona msosi wa nyota tano
View attachment 2572368
Sasa kwa taarifa yako mimi bangi nimelima 2018 hadi ikazaa buds hazikutoa mbegu nikaivuna just one mche kama hiyo hapo,kiukweli inafuta kumbukumbu na inaleta uzezeta.
 
Mjinga mkubwa wewe tangu lini bangi ikawa chanzo cha kufanyia ibada, yaani hizo dini zenu za mtaani(rastafarians) ndio unaitumia kama hoja?Punguani mkubwa wewe lete fact sio ujinga wa dini za wahuni kama kina Bob Marley za uvutaji wa sumu mwilini.
Wewe hujui chochote kuhusu bangi halafu unalazimisha mabishano..
Ngoja tukuachie uzi wako
 
Haina madhara, kinachotokea ni kwamba kuna wengine haiwataki pia haiwezi kureact sawa kwa watumiaji wote! Kila mtu anakutana na lake ila wengi wana enjoy! Ukiona haikutaki acha sio lazima wote muwe wavuta bangi[emoji2959][emoji2959][emoji41]
 
Binti ungepumzika kwanza,maana sio kwa povu.
 
Bangi ni mbaya mno mimi nimetumia toka mwaka 2018 nikianza kwa kuvuta bila rizla nilikua nakula stick nzima,mpaka hatua ya kunyonga mwenyewe kwenye rizla.Bangi nimbaya mno nakushangaa wewe ndugu yangu unaisifia ulishawahi itumia ukaona madhara yake?
Madhara yake ni nini?
 
Yaan umeanza kutumia 2018 na 2023 ukawehuka
halaf baada ya kutoka mirembe umeleta nyuzi ya madhara ya bangi.
aise hujapona bado
Wewe taahira soma thread uelewe vizuri shenzi kabisa yaani huoni?
 
Wewe zwazwa tangu lini moshi mkali kama wa bangi inhaling yake ikawa normal to a human body?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…