Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dawa..jiandae kutumia hadi unakufa...usije Acha Dawa kwakujiona umeponaSafi umeuliza swali zuri hizo dawa hazina side effects, kiufupi ni nzuri mno na zimenisaidia kupunguza hallucinations na bado nazitumia mpaka dokta atakaporidhika na maendeleo yangu
Bangi sio kwa ajili yakoMimi...nimetumia CPZ, nikatumia harloperidol na Resperidone...niktumia carpmazapine na harloperidol...saiv natumia harloperidol na sodium Volproate and Valproic acid...
Yote hayo nivuta bangi...bangi imeharibu maisha yangu yoote....
Hio kwa nyie ambao bangi haikua kwa ajili. YenuHizi dawa..jiandae kutumia hadi unakufa...usije Acha Dawa kwakujiona umepona
Huijui acha uongoBangi ni hatari mno ndugu, wewe hujui ndugu yangu ndio maana unaisapoti nimevuta bangi mwenyewe bila ya kuvutishwa naijua bangi inside and out.