Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Mkuu hii gari ni rebadged version ya Forthing Yacht ya Mchina.

Na ndio maana hata picha yako hapo inaonesha maandishi ya kichina kwenye kuta na vibao vya matangazo. Ikionesha hii gari ipo china na sio Iran.

(Japo unaweza kusema mitaa kuwa na maandishi ya kichina sio uthibitisho kuwa hapo ni china)

Iran hapaswi kupewa credit ya manufacturing kwenye products ambayo hajatengeneza.
 
Umeanza 🀣😁
 
Kwani wachina hawawezi kununua Gari za Iran?

Pitia hapa ujiridhishe




View: https://www.instagram.com/p/C1sPH88IWMP/
 
ah ah ushawastua waja sasa siungekausha tu mwamba...wana walishalishwa tango na wakalimeza zimazima
 
Huyu jamaa niwakuwanae makini sana, linapokuja swala la Urusi, Korea kaskazini, na Iran. Anakuwa muongo muongo mno
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…