Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

Sasa hiyo link yako ya Instagram ndio imejibu hoja kuwa Iran imetengeneza hilo gari?

Hiyo gari kwa mujibu wa vyanzo vyako ilizinduliwa mwaka gani na ni wapi?
Huamini macho yako mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
Pitia hapa uwaone Washirazi wanavyokuwewesesha




 
Hujajibu swali.

Hiyo gari imezinduliwa mwaka gani na mwezi gani?

Tatizo unakuwa muongo sana.
 
Kwasababu umeshindwa kutaja majina ya haya magari ngoja mimi nikusaidie.

Hayo magari yametengenezwa chini ya kampuni la kichina linaloitwa Beijing Automotive Group Co. Ltd (BAIC)

Hizo picha ni matoleo ya gari aina ya BAIC X35 (gari nyekundu) na BAIC X55ii (gari ya kijani)

Na hizi ndio picha zake BAIC X55ii

Muonekano wa mbele



Muonekano wa ndani








Muonekano wa Engine yake



Review:
View: https://youtu.be/wPbPw-y-uD4?feature=shared
Source: BAIC Group - Wikipedia

Baic autorings Site:https://autorings.lv/baic-x55-ii-luxury/

Baic official site: https://www.baicgroup.com.cn/passenger-vehicle.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…