Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Imani potofu kuamini Sisimizi analeta mikosi, Tandu anamaliza adui yako, Popo anakuonesha kifo chako,Kasema ni tiba sio imani potofu
Unaijua maana ya Tiba lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani potofu kuamini Sisimizi analeta mikosi, Tandu anamaliza adui yako, Popo anakuonesha kifo chako,Kasema ni tiba sio imani potofu
Kwanini iwe imani potofu...?Imani potofu kuamini Sisimizi analeta mikosi, Tandu anamaliza adui yako, Popo anakuonesha kifo chako,
Unaijua maana ya Tiba lakini
acha kutisha watu hao viunbe km viumbe wengine mwewe nyoka nzi nge vyote viumbe km umeish pwan popo usiku wanakuj kwa wing toka mapangon. nakweny majengo makubwa wanasak rzk km kwenu kuna miti ya ma2nd mpapai dhambarau mipera muarobain popo utawaon kbao tu na bund kawaid tu ni ndeg km ndeg wengn anawinda usku na ana smel haruf ya mtu ambae anakrbia kufa izo sayance zko uchwara pita nazo vileeUsiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula usiku?
Kuna kitu kinaitwa sleep paralysis, ambayo kwa watu wengi tunaamini ni jinamizi linatukaba.
JONGOO:
Huyu umwonapo nyumbani basi katika ulimwengu wa kiroho huwa anaashiria amani na upendo vitatawala katika maisha yako.
SISIMIZI:
Hawa uwaonapo nyumbani kwako basi jua mikosi inakunyemelea na iko njiani either iwe kwako au kwa wanafamilia wako.
TANDU:
Huyu tandu kwanza ni mdudu wa kipekee, ukimchukua tandu ukatafuta majani ya mlonge longe, majani mabichi ya tumbaku na ndulele ukavichoma kwa pamoja yale majivu yake yachukue na uende nayo kwenye lolote tafuta na mafuta ya kondoo uchanganye na damu kidogo, unanyunyiza pale kwenye kaburi huku ukinena maneno unayotaka yampate mbaya wako. Basi nakuhakikishia miguu ya tandu yote kama iko mia baada ya siku mia tarajia taarifa.
Hivyo tandu umwonapo kwako jua kabisa anaakisi mabaya, na pia umezungukwa na marafiki wabaya na uko hatarini
POPO:
Popo umuonapo nyumbani mara kwa mara basi elewa hio ni ishara ya namna kifo chako kitavyokuwa! Naam utajuaje namna ya kifo chako, chukia samaki hawa perege wadogo wapake samli na unga wa muhogo kisha tupa sehemu ambapo wanajining'niza, alafu sema maneno haya leo ndotoni nataka nataka nione mwisho wa miamba ya dunia. Nenda kalale kisha utaota namna utavyokufa iwe ni kwa presha, ukimwi au ajali n.k
Hivyo umwonapo popo nyumbani kwako jua kifo kinakunyemelea.
N.B Nenda kayafanyie kazi haya maneno yangu utakuja kuamini na kuleta mrejesho
Sasa ni Saa saba za usiku nasikia bundi linalia hapa nje, ngoja nitoke nijue kulikoni!
Awe mnajimu/mganga hivyo?Mayai yana ule ute na kiini ambacho yanaakisi chimbuko lako ulipotokea, nyonya la kuku linaakisi mwelekeo wako tangu nyota yako ilipotengezwa katika sayari za mbali na majivu yanaakisi taswira ya mwili wako. Hivo mjumuiko huo hutumika kukuangamiza au kukuponya!
Kwasababu ni Iman potofuKwanini iwe imani potofu...?
Nilitaka kusema kama wewe mimi nyumbani kwangu sisimizi hawakosi na tandu pia huja nishawauwa wengi sana tu.Hao viumbe tunaishi nao kila siku eti waje kua Mikosi,
Waafrika sisi kweli ni tabaka la mwisho[emoji119]
Na ukiwaona hao wadudu wote kwa pamojaUsiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula usiku?
Kuna kitu kinaitwa sleep paralysis, ambayo kwa watu wengi tunaamini ni jinamizi linatukaba.
JONGOO:
Huyu umwonapo nyumbani basi katika ulimwengu wa kiroho huwa anaashiria amani na upendo vitatawala katika maisha yako.
SISIMIZI:
Hawa uwaonapo nyumbani kwako basi jua mikosi inakunyemelea na iko njiani either iwe kwako au kwa wanafamilia wako.
TANDU:
Huyu tandu kwanza ni mdudu wa kipekee, ukimchukua tandu ukatafuta majani ya mlonge longe, majani mabichi ya tumbaku na ndulele ukavichoma kwa pamoja yale majivu yake yachukue na uende nayo kwenye lolote tafuta na mafuta ya kondoo uchanganye na damu kidogo, unanyunyiza pale kwenye kaburi huku ukinena maneno unayotaka yampate mbaya wako. Basi nakuhakikishia miguu ya tandu yote kama iko mia baada ya siku mia tarajia taarifa.
Hivyo tandu umwonapo kwako jua kabisa anaakisi mabaya, na pia umezungukwa na marafiki wabaya na uko hatarini
POPO:
Popo umuonapo nyumbani mara kwa mara basi elewa hio ni ishara ya namna kifo chako kitavyokuwa! Naam utajuaje namna ya kifo chako, chukia samaki hawa perege wadogo wapake samli na unga wa muhogo kisha tupa sehemu ambapo wanajining'niza, alafu sema maneno haya leo ndotoni nataka nataka nione mwisho wa miamba ya dunia. Nenda kalale kisha utaota namna utavyokufa iwe ni kwa presha, ukimwi au ajali n.k
Hivyo umwonapo popo nyumbani kwako jua kifo kinakunyemelea.
N.B Nenda kayafanyie kazi haya maneno yangu utakuja kuamini na kuleta mrejesho
Sasa ni Saa saba za usiku nasikia bundi linalia hapa nje, ngoja nitoke nijue kulikoni!
Mwigulu hakukosea kusema tujadili uganga wa kienyeji. Ndiyo haya yanayoendelea sasaUsiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Poor BrainMmmh sitakua nimejiingiza kwenye shirki mkuu
😀Kuishi tu bongo tayari ni mikosi wala huitaji ishara ya sisimizi
S,alkym Lovie LadyPoor Brain
Usijaribu Mkuu tayari utakua ushafanya Shirki, na ubaya wa Shirki imejificha sana..ALLAH SWT atuongoze
Tumeishi na popo kwenye nyumba huu ni mwaka wa 40. Sio kila popo ni ishara mbaya.Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.