Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
NImekuelewa mkuu, asante kwa taarifaUmesoma bandiko langu ukalielewa lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NImekuelewa mkuu, asante kwa taarifaUmesoma bandiko langu ukalielewa lakini?
Tuache imani hizi jamani,kuwepo na popo nyumbani ni kwamba wanatafuta hifadhi tu sehemu ya kificho na usiku wanatoka kwenda kutafuta mawindo na kwa kuwa bundi usiku huo naye anatafuta mawindo yake ambayo ni popo hivi inamlazimu kutua juu ya nyumba ili popo wakitoka tu awadake kirahisiHiyo ya bundi hata mimi hapa naskia..
Ila ni kwa mbali sana
Sasa ukishakufa Mrejesho utauketaje ?Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula usiku?
Kuna kitu kinaitwa sleep paralysis, ambayo kwa watu wengi tunaamini ni jinamizi linatukaba.
JONGOO:
Huyu umwonapo nyumbani basi katika ulimwengu wa kiroho huwa anaashiria amani na upendo vitatawala katika maisha yako.
SISIMIZI:
Hawa uwaonapo nyumbani kwako basi jua mikosi inakunyemelea na iko njiani either iwe kwako au kwa wanafamilia wako.
TANDU:
Huyu tandu kwanza ni mdudu wa kipekee, ukimchukua tandu ukatafuta majani ya mlonge longe, majani mabichi ya tumbaku na ndulele ukavichoma kwa pamoja yale majivu yake yachukue na uende nayo kwenye lolote tafuta na mafuta ya kondoo uchanganye na damu kidogo, unanyunyiza pale kwenye kaburi huku ukinena maneno unayotaka yampate mbaya wako. Basi nakuhakikishia miguu ya tandu yote kama iko mia baada ya siku mia tarajia taarifa.
Hivyo tandu umwonapo kwako jua kabisa anaakisi mabaya, na pia umezungukwa na marafiki wabaya na uko hatarini
POPO:
Popo umuonapo nyumbani mara kwa mara basi elewa hio ni ishara ya namna kifo chako kitavyokuwa! Naam utajuaje namna ya kifo chako, chukia samaki hawa perege wadogo wapake samli na unga wa muhogo kisha tupa sehemu ambapo wanajining'niza, alafu sema maneno haya leo ndotoni nataka nataka nione mwisho wa miamba ya dunia. Nenda kalale kisha utaota namna utavyokufa iwe ni kwa presha, ukimwi au ajali n.k
Hivyo umwonapo popo nyumbani kwako jua kifo kinakunyemelea.
N.B Nenda kayafanyie kazi haya maneno yangu utakuja kuamini na kuleta mrejesho
Sasa ni Saa saba za usiku nasikia bundi linalia hapa nje, ngoja nitoke nijue kulikoni!
Sasa hawa unazungumzia kuwaona kwenye ndoto au katika uhalisia??Hayo unayosema ni ya kweli au unachangamsha genge? Lakini hapa sijawazungumzia bundi, nimewazungumzia sisimizi, tandu, popo na jongoo!
CHukua maji tia kwenye ungo simama mlango wa chooni alfajiri kunywa kisha jimwagie halafu NENA maneno yatatokea.....USHIRIKINA TU HAKUNA LOLOTEUsiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.