Ifahamu ishara ya tandu, jongoo, sisimizi na popo nyumbani kwako!

Mtoa mada vp kuhusu bundi alishawahi kuishi hadi kutaga mayai juu ya paa la nyumba yangu
 
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.

Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula usiku?

Kuna kitu kinaitwa sleep paralysis, ambayo kwa watu wengi tunaamini ni jinamizi linatukaba.

JONGOO:
Huyu umwonapo nyumbani basi katika ulimwengu wa kiroho huwa anaashiria amani na upendo vitatawala katika maisha yako.

SISIMIZI:
Hawa uwaonapo nyumbani kwako basi jua mikosi inakunyemelea na iko njiani either iwe kwako au kwa wanafamilia wako.

TANDU:
Huyu tandu kwanza ni mdudu wa kipekee, ukimchukua tandu ukatafuta majani ya mlonge longe, majani mabichi ya tumbaku na ndulele ukavichoma kwa pamoja yale majivu yake yachukue na uende nayo kwenye lolote tafuta na mafuta ya kondoo uchanganye na damu kidogo, unanyunyiza pale kwenye kaburi huku ukinena maneno unayotaka yampate mbaya wako. Basi nakuhakikishia miguu ya tandu yote kama iko mia baada ya siku mia tarajia taarifa.
Hivyo tandu umwonapo kwako jua kabisa anaakisi mabaya, na pia umezungukwa na marafiki wabaya na uko hatarini

POPO:
Popo umuonapo nyumbani mara kwa mara basi elewa hio ni ishara ya namna kifo chako kitavyokuwa! Naam utajuaje namna ya kifo chako, chukia samaki hawa perege wadogo wapake samli na unga wa muhogo kisha tupa sehemu ambapo wanajining'niza, alafu sema maneno haya leo ndotoni nataka nataka nione mwisho wa miamba ya dunia. Nenda kalale kisha utaota namna utavyokufa iwe ni kwa presha, ukimwi au ajali n.k

Hivyo umwonapo popo nyumbani kwako jua kifo kinakunyemelea.
N.B Nenda kayafanyie kazi haya maneno yangu utakuja kuamini na kuleta mrejesho

Sasa ni Saa saba za usiku nasikia bundi linalia hapa nje, ngoja nitoke nijue kulikoni!
Yesu ni kila kitu.acha usihiri na uchawi,hakuna lolote hao viumbe tumeshi nao miaka na miaka katika kila hali, vyovyote itakavyokuwa nature ndo huamua
 
Kwa hiyo kama tumekaa wapangaji Kumi kwenye nyumba moja uswahilini tukamuona Popo kwa pamoja wote tunakufa🥹🥹🥹🥹
Nadhani hujasoma bandiko langu vizuri. Ebu rudia kusoma na uelewe upya!
 
Mtoa mada vp kuhusu bundi alishawahi kuishi hadi kutaga mayai juu ya paa la nyumba yangu
Hayo unayosema ni ya kweli au unachangamsha genge? Lakini hapa sijawazungumzia bundi, nimewazungumzia sisimizi, tandu, popo na jongoo!
 
Yesu ni kila kitu.acha usihiri na uchawi,hakuna lolote hao viumbe tumeshi nao miaka na miaka katika kila hali, vyovyote itakavyokuwa nature ndo huamua
Kama unaamini katika yesu unaachaje kuamini katika hawa wadudu niliokutajia? Ebu mtafute mchungaji wako muulize ishara ya tandu nyumbani ni nini alafu ndio utaelewa.
 
Hah sisimizi mpaka tunawala kwenye mchuzi wa samaki uliolala,popo nao Kila siku usiku tunapishana nao mda wa kwenda kulala wao ndy wanatoka,
Hao wote uliotaja hauwezi kuwatenga na maisha yetu !!!!
 
Huu ni ulozi🙌
Eti kumwaga makaburini🤔
Huu ni utumwa🤣
Maarifa haya kaa nayo,
Ya Biblia Yananitosha😎
Sasa unaamini biblia lakini ishara ninazokupa huziamini? Wakati bibilia inawazungumzia wachawi.
 
Hah sisimizi mpaka tunawala kwenye mchuzi wa samaki uliolala,popo nao Kila siku usiku tunapishana nao mda wa kwenda kulala wao ndy wanatoka,
Hao wote uliotaja hauwezi kuwatenga na maisha yetu !!!!
Rudia kusoma bandiko langu kwa umakini na ujaribu kuelewa sio kutaka kuja kubishana tu wakati binadamu wote tuna asili zetu.
 
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.

Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula usiku?

Kuna kitu kinaitwa sleep paralysis, ambayo kwa watu wengi tunaamini ni jinamizi linatukaba.

JONGOO:
Huyu umwonapo nyumbani basi katika ulimwengu wa kiroho huwa anaashiria amani na upendo vitatawala katika maisha yako.

SISIMIZI:
Hawa uwaonapo nyumbani kwako basi jua mikosi inakunyemelea na iko njiani either iwe kwako au kwa wanafamilia wako.

TANDU:
Huyu tandu kwanza ni mdudu wa kipekee, ukimchukua tandu ukatafuta majani ya mlonge longe, majani mabichi ya tumbaku na ndulele ukavichoma kwa pamoja yale majivu yake yachukue na uende nayo kwenye lolote tafuta na mafuta ya kondoo uchanganye na damu kidogo, unanyunyiza pale kwenye kaburi huku ukinena maneno unayotaka yampate mbaya wako. Basi nakuhakikishia miguu ya tandu yote kama iko mia baada ya siku mia tarajia taarifa.
Hivyo tandu umwonapo kwako jua kabisa anaakisi mabaya, na pia umezungukwa na marafiki wabaya na uko hatarini

POPO:
Popo umuonapo nyumbani mara kwa mara basi elewa hio ni ishara ya namna kifo chako kitavyokuwa! Naam utajuaje namna ya kifo chako, chukia samaki hawa perege wadogo wapake samli na unga wa muhogo kisha tupa sehemu ambapo wanajining'niza, alafu sema maneno haya leo ndotoni nataka nataka nione mwisho wa miamba ya dunia. Nenda kalale kisha utaota namna utavyokufa iwe ni kwa presha, ukimwi au ajali n.k

Hivyo umwonapo popo nyumbani kwako jua kifo kinakunyemelea.
N.B Nenda kayafanyie kazi haya maneno yangu utakuja kuamini na kuleta mrejesho

Sasa ni Saa saba za usiku nasikia bundi linalia hapa nje, ngoja nitoke nijue kulikoni!
Kuna baadhi ya wadudu wanatokana a mazingira na hawahusiani kabisa na ulichoandika

Mfano mbu, tunajua mazalia yake yanasababishwa na nii

Jongoo hawa wanapwnda kukaa vhini ya vuungu vya maua au kwenye bustani zetu za maua na unapofanya fumigation huwa wanapotea

Tandu nao wana mazingira ambayo ni favourable kwao

Na wadudu wote hawa huingia ndani wakioata upenyo ndio maana tunashauriwa kuweka mazingira yetu safi na kufanya fumigation mara kwa mara

Haya mengine ni imani tu ambazo hazina ukweli
 
Umesoma bandiko langu ukalielewa lakini?
 
Back
Top Bottom