Ifahamu ishara ya tandu, jongoo, sisimizi na popo nyumbani kwako!

acha kutisha watu hao viunbe km viumbe wengine mwewe nyoka nzi nge vyote viumbe km umeish pwan popo usiku wanakuj kwa wing toka mapangon. nakweny majengo makubwa wanasak rzk km kwenu kuna miti ya ma2nd mpapai dhambarau mipera muarobain popo utawaon kbao tu na bund kawaid tu ni ndeg km ndeg wengn anawinda usku na ana smel haruf ya mtu ambae anakrbia kufa izo sayance zko uchwara pita nazo vilee
 
Awe mnajimu/mganga hivyo?
 
Huu ni ulozi🙌
Eti kumwaga makaburini🤔
Huu ni utumwa🤣
Maarifa haya kaa nayo,
Ya Biblia Yananitosha😎
 
Kwa hiyo kama tumekaa wapangaji Kumi kwenye nyumba moja uswahilini tukamuona Popo kwa pamoja wote tunakufa🥹🥹🥹🥹
 
Na ukiwaona hao wadudu wote kwa pamoja
 
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Mwigulu hakukosea kusema tujadili uganga wa kienyeji. Ndiyo haya yanayoendelea sasa
 
Kuishi tu bongo tayari ni mikosi wala huitaji ishara ya sisimizi
 
Tumeishi na popo kwenye nyumba huu ni mwaka wa 40. Sio kila popo ni ishara mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…