Ifahamu ishara ya tandu, jongoo, sisimizi na popo nyumbani kwako!

Usipoishi na sisimizi popo bundi mjusi nnge wewe ni tatizo hawa ni viumbe kama wewe wanapenda kukaa sehemu salama.hata wewe mahali ulipo ukiona sio salama kwako hama.mawazo ya mtoa mada ni upotoshaji wenye nia ovu au ndio njia yake ya kujitafutia
 
Kwaio sisimizi wakifata mabaki ya misosi na hapo inakuaje boss
 
Hiyo ya bundi hata mimi hapa naskia..
Ila ni kwa mbali sana
Tuache imani hizi jamani,kuwepo na popo nyumbani ni kwamba wanatafuta hifadhi tu sehemu ya kificho na usiku wanatoka kwenda kutafuta mawindo na kwa kuwa bundi usiku huo naye anatafuta mawindo yake ambayo ni popo hivi inamlazimu kutua juu ya nyumba ili popo wakitoka tu awadake kirahisi
 
Sasa ukishakufa Mrejesho utauketaje ?
 
Kuna wakati kiroho.
Tandu huashiria mwanamke anayepambania ndoa kwa kuharibu nyingine.
Popo huashiria uchawi wa kuruka.
Jongoo huashiria mtu asiye na ubaya lakini anayechukiwa.
Sisimizi huashiria msiba na hasa wakibeba chakula.au kama mlikuwa mna mgonjwa atapata nafuu.
 
Hayo unayosema ni ya kweli au unachangamsha genge? Lakini hapa sijawazungumzia bundi, nimewazungumzia sisimizi, tandu, popo na jongoo!
Sasa hawa unazungumzia kuwaona kwenye ndoto au katika uhalisia??
 
CHukua maji tia kwenye ungo simama mlango wa chooni alfajiri kunywa kisha jimwagie halafu NENA maneno yatatokea.....USHIRIKINA TU HAKUNA LOLOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…