Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

Tozo, Panya Road , ugumu wa maisha.

Sidhani kama kuna mtu anaweza penya.
 
Tozo, Panya Road , ugumu wa maisha.

Sidhani kama kuna mtu anaweza penya.
Vigezo vinavyotumika:

1. Utawala bora
2. Kuachia uongozi awamu inapoisha
3. Awe amechaguliwa kidemokrasia
4. Achangie katika uongozi kuelekea maendeleo ya kiuchumi
5. Kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.

Sasa hapa magufuli anakidhi kigezo kimoja tu, namba 2. Vingine vyote anafeli.
 
Lisu siyo kiongozi bali ni mwanaharakati. He has no sense at all, na it seems ana matatizo ya akili. Yaani huwezi kuwa mpinzani kipindi kile serikali inapigania kurekebisha mikataba ya madini then gafla anageukia upande wa wenye migodi tena yupo serious kabisa.
Usijitoe ufahamu wewe dogo.. ripoti ya Osoro ilikuwa ya kweli? Kwanini magufuli alikuja kuachia yale makinikia?
Lissu alitaka kuwe na uwazi na kuzingatia sheria za kimataifa.
 
Back
Top Bottom