Rais aliyemaliza muda wake na kukabidhi madaraka kwa aliyeshinda uchaguzi wa kidemokrasia kihalali ndiye ambaye huwa anajadiliwa kama utawala wake ulikuwa na vigezo vya kuweza yeye kutunukiwa hiyo nishani ya Mo Ibrahim !! Magufuli hata hakujadiliwa kwa sababu alikuwa bado madarakani !! Mkapa na Kikwete hawakuipata hiyo tuzo kwa sababu hawakukidhi vigezo. !! Great thinkers gani huwa wana ushabiki wa Simba na Yanga ?? Na hata kama Magufuli angemaliza muda wake sidhani kama angekidhi vigezo huo ndio ukweli. !