Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

Mengine Ni Ya Kupuuzwa Tu Hakuna Lolote
Mzilankende Hakupata Kama Wengine Tu
 
Bwana Salim Ahmed Salim hiki kichwa hiki wachina na wamarekani wana kijua vizuri sana.

Vichwa adimu kama vya kina Salim Ahmed Salim havipo kabisa sasa vipo tu vichwa vya hovyo vya kulamba makalio watawala.
Mh.Salim_Ahmed_Salim.jpg
 
Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa:

1. Salim Ahmed Salim (Chair)
2. Martti Ahtisaari
3. Aicha Bah Diallo
4. Mohamed ElBaradei
5. Horst Köhler
6. Graça Machel
7. Festus Mogae
8. Mary Robinson
Mungu ibariki hii kamati
 
Vigezo vinavyotumika:

1. Utawala bora
2. Kuachia uongozi awamu inapoisha
3. Awe amechaguliwa kidemokrasia
4. Achangie katika uongozi kuelekea maendeleo ya kiuchumi
5. Kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.

Sasa hapa magufuli anakidhi kigezo kimoja tu, namba 2. Vingine vyote anafeli.
Huyu wa sasa ana kila sifa.

Haya sasa umefurahi.

Kanywe uji wa ulezi.
 
Hapa ndio unaona umeongea kwa akili? Tuzo huwa zinatolewa hata kama mtu alishafariki.
1. Nitajie raisi aliewahi kupewa hii tuzo akiwa marehemu?
2.Huyo uliemsema km mwenyekiti anaumwa muda sasa hawezi kusimamia cometee yoyote( i bet umeeenda ku copy list wikipedia ili kukamilisha story yako bila kujua hali ya mwenyekiti unaemsema)
3. Mara ya mwisho mchakato kufanyika ilikua 2020 hii ni 2022 hakuna mchakato mwingine uliofanyika hii ya JPM ww umeitoa wapi?
4. Hakuna habari yoyote ya mchakato mpya ktk official website yao au vyanzo vingine vya kuaminika vya habari zaidi ya haka ka post kako ka kipuuzi(Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership)
 
Hata Mzee Mkapa naye alipigwa chini kwasababu ya Zanzibar mwaka 2001.
Lakini, haikuondoa ukweli kwamba alijitahidi sana kukuza uchumi wa nchi.

Tuzo hizi ni nzuri, lakini kupata kwake siyo uthibitisho wa uongozi bora wa mtu fulani.
Henry Kissinger na kuua maelfu Vietnam na Laos, bado alipewa tuzo ya Nobel.
 
1. Nitajie raisi aliewahi kupewa hii tuzo akiwa marehemu?
Hili ni swali la kitoto

2.Huyo uliemsema km mwenyekiti anaumwa muda sasa hawezi kusimamia cometee yoyote( i bet umeeenda ku copy list wikipedia ili kukamilisha story yako bila kujua hali ya mwenyekiti unaemsema)
Hili linaonesha bado unaishi karne ya 19. Unafahamu kwamba kuna kitu kinaitwa delegation? Unafahamu video conferencing?

3. Mara ya mwisho mchakato kufanyika ilikua 2020 hii ni 2022 hakuna mchakato mwingine uliofanyika hii ya JPM ww umeitoa wapi?
Wewe unafahamu utaratibu wa brain writing unaotumika kukusanya mawazo ya wajumbe kabla ya official gathering?

4. Hakuna habari yoyote ya mchakato mpya ktk official website yao au vyanzo vingine vya kuaminika vya habari zaidi ya haka ka post kako ka kipuuzi(Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership)
Chanzo cha kuaminika ni hii habari niliyokuletea maana inao uthibitisho kutokea jikoni.
 
Back
Top Bottom