Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Vigezo vinavyotumika:Wangekuwa wanatoa na sababu za waluoshindwa na walioshinda, ningetamani kujua sana za nini kilifanya wasimpe jiwe.
1. Utawala bora
2. Kuachia uongozi awamu inapoisha
3. Awe amechaguliwa kidemokrasia
4. Achangie katika uongozi kuelekea maendeleo ya kiuchumi
5. Kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.
Hapa unaweza kuona magufuli hawezi kupenya.