Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

Tozo, Panya Road , ugumu wa maisha.

Sidhani kama kuna mtu anaweza penya.
 
Ohh ina maana kumbe Magufuli alikuwa ni mmoja wa waliofikiriwa kupewa tuzo? Kwa maana kama hiyo Tume ilimkataa ina maana aliingia kwenye kundi la washindi, hivyo Magufuli alikuwa ni moja kati wa Viongozi bora kabisa Afrika!
 
Tozo, Panya Road , ugumu wa maisha.

Sidhani kama kuna mtu anaweza penya.
Vigezo vinavyotumika:

1. Utawala bora
2. Kuachia uongozi awamu inapoisha
3. Awe amechaguliwa kidemokrasia
4. Achangie katika uongozi kuelekea maendeleo ya kiuchumi
5. Kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.

Sasa hapa magufuli anakidhi kigezo kimoja tu, namba 2. Vingine vyote anafeli.
 
Usijitoe ufahamu wewe dogo.. ripoti ya Osoro ilikuwa ya kweli? Kwanini magufuli alikuja kuachia yale makinikia?
Lissu alitaka kuwe na uwazi na kuzingatia sheria za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…