Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #21
Vigezo vinavyotumika:Wangekuwa wanatoa na sababu za waluoshindwa na walioshinda, ningetamani kujua sana za nini kilifanya wasimpe jiwe.
Huo uchizi 😂😂🤣😂Lkn Lissu ni rais wa nyoyo za watu mstaafu,
Kila kiongozi anayetoka madarakani kwa afrika anaingizwa kwenye consideration.Ohh ina maana kumbe Magufuli alikuwa ni mmoja wa waliofikiriwa kupewa tuzo? Kwa maana kama hiyo Tume ilimkataa ina maana aliingia kwenye kundi la washindi, hivyo Magufuli alikuwa ni moja kati wa Viongozi bora kabisa Afrikani!
Kila head of state wa Afrika anapotoka anaingizwa kwasababu tuzo inajadiliwa kila mwaka.Kwa mtu mwenye akili kichwani atabaini kuwa "kile kitendo tu Cha kumuingiza kwenye nomination tayari inaonesha kuwa waandaaji somehow walikuwa wanamuappriciate"
Ujinga mtupu, tupe chanzo cha hichi usemachoVigezo vinavyotumika:
1. Utawala bora
2. Kuachia uongozi awamu inapoisha
3. Awe amechaguliwa kidemokrasia
4. Achangie katika uongozi kuelekea maendeleo ya kiuchumi
5. Kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.
Sasa hapa magufuli anakidhi kigezo kimoja tu, namba 2. Vingine vyote anafeli.
Inatambua au inafundishwa democracy?😅CCM inatambua democracy 🤣🤣
CCM Ni jeshi la maafande linaloigiza siasaInatambua au inafundishwa democracy?😅
Kwamba hata wikipedia hujui ni kitu gani ili ukajiridhishe?Ujinga mtupu, tupe chanzo cha hichi usemacho
Wajumbe hawana tabia ya kupepesa macho.Hiyo Kamati ilifanya HAKI kabisa kumnyima Magufuli Tuzo,labda angepewa Tuzo na Lucifer ya "Muuaji Mashuhuri".
Kila kiongozi anayetoka madarakani kwa afrika anaingizwa kwenye consideration.
Hakumaanisha magufuli, Ni yule mwingineKama ni hivyo huyo MAGUFULI anahusika vipi hapo?
Hakuna aliyepita ndio maana tuzo haijatolewa tangu 2020.Kwa hiyo kulikuwa na mchujo? Unaweza kuweka waliopita kwenye huo mchujo?
Anapotoka vip?Kila head of state wa Afrika anapotoka anaingizwa kwasababu tuzo inajadiliwa kila mwaka.
Magufuli angezingatia demokrasia na utawala bora angebeba hii tuzo.Magu character alikuwa nazo ila Kuna sehemu aliyumba hasa kwenye hisia kuziweka mbele
Anapoacha kuwa head of state kwa sababu yoyote ile.Anapotoka vip?
Hakuna aliyepita ndio maana tuzo haijatolewa tangu 2020.
Kupenya kwenda wapi?Tozo, Panya Road , ugumu wa maisha.
Sidhani kama kuna mtu anaweza penya.