Rais aliyemaliza muda wake na kukabidhi madaraka kwa aliyeshinda uchaguzi wa kidemokrasia kihalali ndiye ambaye huwa anajadiliwa kama utawala wake ulikuwa na vigezo vya kuweza yeye kutunukiwa hiyo nishani ya Mo Ibrahim !! Magufuli hata hakujadiliwa kwa sababu alikuwa bado madarakani !! Mkapa na Kikwete hawakuipata hiyo tuzo kwa sababu hawakukidhi vigezo. !! Great thinkers gani huwa wana ushabiki wa Simba na Yanga ?? Na hata kama Magufuli angemaliza muda wake sidhani kama angekidhi vigezo huo ndio ukweli. !Kwa hiyo kulikuwa na mchujo? Unaweza kuweka waliopita kwenye huo mchujo?
Lisu siyo kiongozi bali ni mwanaharakati. He has no sense at all, na it seems ana matatizo ya akili. Yaani huwezi kuwa mpinzani kipindi kile serikali inapigania kurekebisha mikataba ya madini then gafla anageukia upande wa wenye migodi tena yupo serious kabisa.
Hao team upinde wakafe mbele..Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa:
1. Salim Ahmed Salim (Chair)
2. Martti Ahtisaari
3. Aicha Bah Diallo
4. Mohamed ElBaradei
5. Horst Köhler
6. Graça Machel
7. Festus Mogae
8. Mary Robinson
Sasa Magufuli alitoka?Kila head of state wa Afrika anapotoka anaingizwa kwasababu tuzo inajadiliwa kila mwaka.
Sisi hatuna haja na tuzo kwa magufuli. Wenyewe watz tuna tuzo kwake.Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa:
1. Salim Ahmed Salim (Chair)
2. Martti Ahtisaari
3. Aicha Bah Diallo
4. Mohamed ElBaradei
5. Horst Köhler
6. Graça Machel
7. Festus Mogae
8. Mary Robinson
Kwahiyo hakutoka?Sasa Magufuli alitoka?
Watz gani wampe tuzo mtu aliyeiba uchaguzi mkuu 2020?Sisi hatuna haja na tuzo kwa magufuli. Wenyewe watz tuna tuzo kwake.
Ni kupambana na wapinga maendeleo na kuiletea nchi yetu maendeleo ya kweli.
kamati ilifanya uamuzi sahihi. makofi kwao.Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa:
1. Salim Ahmed Salim (Chair)
2. Martti Ahtisaari
3. Aicha Bah Diallo
4. Mohamed ElBaradei
5. Horst Köhler
6. Graça Machel
7. Festus Mogae
8. Mary Robinson
Sasa Magufuli alikuwa mstaafu?,au mlimuona ni tishio mkaona mfanye yenu mkiongonzwa na yule wa kuchekachekaTuzo hutolewa kwa head of states wastaafu.
Huyo Magufuli wasipomtaja siku haishi salama kwaoKama ni hivyo huyo MAGUFULI anahusika vipi hapo?
Lowassa mwenyewe anaitwa waziri mkuu mstaafu. Anayeingia ni kila mtu aliyewahi kuwa mkuu wa serikali Afrika.Sasa Magufuli alikuwa mstaafu?,au mlimuona ni tishio mkaona mfanye yenu mkiongonzwa na yule wa kuchekacheka
Udogo wa Akili za Magufuli KAMATI ikimchinjia baharaniKwa hiyo hii kamati haikumuona hata Lissu
Una Akili ndogo sana hiyo Tuzo hutolewa kwa Wakuu wa NchiKwa hiyo hii kamati haikumuona hata Lissu
Rais aliyemaliza muda wake na kukabidhi madaraka kwa aliyeshinda uchaguzi wa kidemokrasia kihalali ndiye ambaye huwa anajadiliwa kama utawala wake ulikuwa na vigezo vya kuweza yeye kutunukiwa hiyo nishani ya Mo Ibrahim !! Magufuli hata hakujadiliwa kwa sababu alikuwa bado madarakani !! Mkapa na Kikwete hawakuipata hiyo tuzo kwa sababu hawakukidhi vigezo. !! Great thinkers gani huwa wana ushabiki wa Simba na Yanga ?? Na hata kama Magufuli angemaliza muda wake sidhani kama angekidhi vigezo huo ndio ukweli. !
Kweli kabisa !Nafikiri umeelekeza maelezo yako kwa wrong person, labda ungemwambia hayo mleta Mada, siyo mimi niliyeleta hii Mada!
Haitolewi Kwa waliopigwa risasi?Tuzo hutolewa hata kama mtu alishafariki.
Inatolewa pale chato, nendeni.Haitolewi Kwa waliopigwa risasi?
Kila rais anapotoka anafanyiwa tathmini japo ni kweli huyu mama ni incompetent.Wa sasa hata kufikiriwa tu kushindanishwa hatafikiriwa.Maana uwezo wake unamashaka