itel Mobile Tanzania
Member
- Mar 5, 2020
- 18
- 28
- Thread starter
-
- #21
Habari okiwira, simu yoyote ukiitumbukiza kwenye maji lazima ilete hitilafu ya kiutendaji ama kuharibika kabisa, isipokuwa tu simu ambayo ina kizuia maji ama 'water proof'. Hivyo tunakushauri kuwa makini ili simu yako isiingiwe maji. Asante.Pia ni SIMU ambayo ikiingia katika ndoo ya maji na ukiitoa ikiwa nzima Shukuru aliyetengeneza Ic zake siku hiyo hakuwa na kilevi kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Planett, tafadhali tujuze ni simu gani ya itel unatumia na inakuletea shida? Tuna huduma mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutatua changamoto yako kwani tuna vituo vya huduma baada ya mauzo yaani 'after sales service', pia tuna huduma ya kubadilishiwa simu bure, kama simu yako imeleta hitilafu unaweza kubadilishiwa bure.honestly hii ni kampuni mbovu kuliko zote nilizowahi kutumia hapa tz.... ITEL haikuwa hata na hadhi ya kutengeneza simu za batani nyinyi mlifaa muwe mnatengeneza midoli ya watoto.
Hongera kwa kuwa muuzaji wa simu zetu, Use brain Heriel, tafadhali upo mkoa gani? Pia tunaomba jina 'inbox' la huyo sales officer. Asante.Mimi ni muuzaji Smartphones itel mnazingua....ila
2160
2180
5081
5625
2150
2190
2090
2060
na viswaswadu vyote mmejitahidi....
Nawezaje kuwa sales guy wenu maana huyu dogo mlompa dhamana huku anazingua
Hello Scars, tafadhali tujuze simu gani inakuletea hitilafu ili tukusaidie kwani tuna huduma nyingi za kuwasaidia wateja wetu hasa wale wanaoweza kukumbana na changamoto ya mifumo ya simu, tuna warantii miezi 13, tuna huduma ya baada ya mauzo yaani after sales service, tuna huduma ya kuwabadilishia simu bure kama itakuletea hitilafu yoyote. Ukituambia ni simu gani inakuletea hitilafu na ni hitilafu gani itakuwa rahisi kwetu kukusaidia wewe. Tupo kwaajili yako.hilo ni zali tu nadhani hata wao wanatakua wanashagaa imekuaje haikusumbui
A series ndio msiba kabisa bora hiyo S
Hello sic narch, umewahi kutumia simu gani ya itel ikakuletea shida? Tafadhali tujulishe.
Asante sana Kennedy!Karibuni Sana
Pole Naki 12 kwa hilo tatizo, Upo mkoa gani tafadhali ili tukuelekeze ofisi zetu kwaajili ya kupatiwa utatuzi wa hilo.simu nzuri ila shida moja. Mi natumia itel kitochi inasumbua ukishaongea na simu kwenye kukata hadi nibonyeze mara mbili au tatu bila hivyo simu inaendelea kuwa hewani na hiki kitochi ni cha pili cha kwanza kilikuwa hivo hivo
Mbona mi Smartphone Yangu itel tena naitumia fresh kuna uwezekano wakawa na mapungufu lakini sio kwa kiwango hicho unachotaka kutuaminisha wana JF.
Hapana.duuuh huenda lakin mm binafs nshawah tumia hizi simu ni mbovu mno asee, labda tu nkuuliz kuwa ulishawah tumia simu tofauti na itel, mfano samsung au iphone?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hizi simu ovyo,nisingepitia uzi huu kesho nilikuwa nakwenda kununua itel p 33..nilizamisha simu ya mtu ndani ya shimo la maji aisee!ilikuwa tecno f 2!Kwanini simu za itel kurepair inakuwa ngumu sana upande wa softwares?
Nimeletewa simu kama mbili Ku reset password hazi detect kwenye USB halafu ni ngumu kutambua kwamba chip zake ni MTK, SPD au intel
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk