itel Mobile Tanzania
Member
- Mar 5, 2020
- 18
- 28
- Thread starter
- #21
Habari okiwira, simu yoyote ukiitumbukiza kwenye maji lazima ilete hitilafu ya kiutendaji ama kuharibika kabisa, isipokuwa tu simu ambayo ina kizuia maji ama 'water proof'. Hivyo tunakushauri kuwa makini ili simu yako isiingiwe maji. Asante.Pia ni SIMU ambayo ikiingia katika ndoo ya maji na ukiitoa ikiwa nzima Shukuru aliyetengeneza Ic zake siku hiyo hakuwa na kilevi kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app