Pole Yako , mbona mifano mingi Ipo wazi mpaka ktk movie zao au Huwa unadhani kuwa baadhi ya matukio ktk Kila movies ni hadithi tu za kusadikika Kila Jamii Ina Mila zao na Ina tambika vizuri tuMzungu anatambika mkuu??
Hapana huu mradi upo kwenye mchakato mkuu.....barabara si umeona imeanza kuboreshwa kuazia Kidatu pale hadi ukivuka daraja kuelekea Malinyi naona wameanza kuiweka sawa!Siasa tu, utekelezaji sifuri.
Hahahaahah! ngumu kujua Mkuu!Ana undugu na Ngollo Kante ?
Kmmk [emoji28][emoji28][emoji28]Wapogoro wanahamasishana kwenda kwa Nyerere kumpokea kwa shangwe
"Tukamfil bab nyerer, Tukamfil bab nyerer."
Nyerere akaona usinitanie, nduki akala kona na mkutano haukufanyika[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...
Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,
"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" [emoji23] [emoji1787]
Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. [emoji23]
Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko [emoji28][emoji28][emoji28]Katiba mpya itahakikisha wakoloni hawatupi masharti kwenye ardhi yetu wenyewe KWA kisingizio cha kulinda Mali zao walizoziacha NCHINI!!
Maendeleo yatafika kote bila kujali kuna Mali za wajerumani au waingereza!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
Duhh [emoji28][emoji119]Hio namba 1 kuna mtu kamuoa mama yake mzazi na kamzalisha mtoto mmoja.
Thus kwao KILA nyumba moja pana mgonjwa wa kifafa sababu ya kuoana watu wa nasaba moja.
Sad [emoji17][emoji24]Mahenge ni jimbo tajiri Sana lakini watu wake ni masikini. Ndilo ukuza uchumi wa nchi za srilanka, thailand na India katika sekta ya madini ya ruby
Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko [emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani wanalinda Mali zao ktk ardhi Ambayo sio Yao na hawana operation yoyote Ile ya maana endelevu kuhusu mali hizo
Wazungu janja janja sana unakuta eti Mzungu yupo Morogoro analima nyanya mwingine yupo rungwe eti analima parachichi na makazi yao hukohuko porini.Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?
Unafikiri wamejenga Ili WEWE uende mbinguni kwa yesu kristo!!? UNAFIKIRI mitume 12 walihitaji yesu awajengee majengo Ndio wamwamini kama hao wa katoliki wafanyavyo!!!?
Niishie hapo wasije nitafuta hao watawa!naomba uimbe wimbo Huu;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
Kila la kheri....Tabia za wapogoro zikoje na tamaduni zao nataka kuoa upogoroni
You have to know that Mimi hayo yote na yajua najua Namna dini zilivyo anzishwa zilikuwa ni package iliyopo ktk siasa za kale , dini ni siasa inayo tumika kutawala watu yote hayo Nina yajuaKwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?
Unafikiri wamejenga Ili WEWE uende mbinguni kwa yesu kristo!!? UNAFIKIRI mitume 12 walihitaji yesu awajengee majengo Ndio wamwamini kama hao wa katoliki wafanyavyo!!!?
Niishie hapo wasije nitafuta hao watawa!naomba uimbe wimbo Huu;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko
Yaani wanalinda Mali zao ktk ardhi Ambayo sio Yao na hawana operation yoyote Ile ya maana endelevu kuhusu mali hizo
Mkuu hao sheria haipo but hufanya makubaliano ya Siri!!You have to know that Mimi hayo yote na yajua najua Namna dini zilivyo anzishwa zilikuwa ni package iliyopo ktk siasa za kale , dini ni siasa inayo tumika kutawala watu yote hayo Nina yajua
Nilicho shangaa ni hiyo sheria uliyo nitajia
Big up mkuu.. umemsaidia kifikraBado lawama haziwezi kuacha kutupiwa Kwa viongozi, serikali Ina wajibu wa kupeleka elimu husika Kwa wananchi na kuwaeleza umuhimu wa kujikita ktk utafutaji na kujikomboa kutoka ktk umasikini wa kiuchumi na kifikira he hayo yanafanyika na kama yanafanyika ni Kwa ukubwa upi
Kuna Jamii nyingine zimejikita ktk kuyafanya hayo unayo yaeleza Kwa sababu ni Jamii ambazo bado zipo ktk ulimwengu Giza wa kiutambuzi ila Endapo wakifikishiwa elimu kwa kina Kwa namna Moja au nyingine lazima watajitoa ktk hicho kivuli Cha ujinga wa matendo Yao
Sure mkuu kuna watoto wazuri, sema washambaHapo kwenye mvuto umetupiga na kitu kizito mkuu
Mbona hata serikali inafahamu uwepo was hizo Mali ndio maana Kuna Kitengo serikalini kinahusika na Mali KaleHv huwa ni kweli hz story? Ni kweli wanakuja kuchua?wakichukua serikali na wananchi wanakua wapi? Hayo maeneo kn picha zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa, ila Mahenge kuna Mawe, khaaah hadi barabaran.Ugali una bei juu kuliko wali