Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Barabara ya kwenda Mahenge itakuwa bora hivi karibuni kuna mradi mkubwa sana wa kuchimba Graphite unakwenda kule Mahenge katika vijiji vya Mdindo, Kisewe na kuna barabara itajengwa kuja kutokea kijiji cha Chikuti pale!
Nasikia Mdindo, Msogezi na RULI ndio kwenye huu mradi ni kweli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mnawaacha watoto wa St Agnes kwiro girls, na Regina Mundi???
Hao walikuwa wanapambana na O - Level, sisi Advance tulikuwa tunadeal na wadada na wamama wa mtaani kwanza walikuwa wanatuhonga misosi na penzi la bure hakuna kuhangaika😂😂😂
 
Hivi si ndio pale wanauza karanga hadi usiku wa manane utawakuta wadada barabarani wameshika nailoni zina karanga ndani? Pia nilisikia story kuhusu hao wadada wanaokesha barabarani hadi usiku mwingi sana
Story gani mkuu
 
IMG_20211001_071811_317.jpg
 
Hiyo wilaya sina ham nayo[emoji27] niliajriwa huko aisee unaweza kuhisi hauko Tanzania
But nashukuru kuajiriwa mazingira mabaya kama hayo ndo kulipelekea niache kazi now nimejiajir na na maisha yangu supper but hiyo Wilaya [emoji119][emoji119][emoji119]
Pole sana kwa changamoto ulizokutana nazo
 
Mengi waliweka Ulinzi wa majini wakayaroga majini yasiweze kuondoka maeneo hayo Ili kuficha mali hadi wao au vizazi vyao ndivyo vije kutoa.
Wao huja kama wawekezaji, wakulima, wafadhili,nk.
kumbe nao hao waherumani walikuwa wanamajini yanalinda mali zao,ila sisi watanzania hatuna tusilolijua
 
Hio bar mmiliki ni mwanamke wa kichagaa, ila wachimbaji wanapapenda sababu ndio sehemu kidogo inaonekana kwa hapo town
Ivi ni mji gani hauna mchaga,ndio yale maneno ya yule mzee wa Efatha aliposema ukiona kwenye mji ama mtaa hakuna mchaga hama,ama hata jela ukikuta jela ama gereza hakuna mchaga hama,anasema sehemu isiyokuwa na mchaga hainaga maendeleo kamwe ndio naamini sasa
 
kumbe nao hao waherumani walikuwa wanamajini yanalinda mali zao,ila sisi watanzania hatuna tusilolijua
Majini hayana kabila.Na mswahili amfikii Mzungu kwa ndumba sema wao awafanyi ushirikina usio na faida.Wayahudi ndio mabingwa konki kwa uchawi na elimu kubwa Sana za nguvu za giza. Kumbuka Wayahudi ndio waliijenga ujerumani ikiwemo kuwapa elimu za kujua siri za dunia ikiwemo mambo yalitojificha.
 
Back
Top Bottom