Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...

Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,

"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" [emoji23] [emoji1787]

Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hahaaaa
 
Katiba mpya itahakikisha wakoloni hawatupi masharti kwenye ardhi yetu wenyewe KWA kisingizio cha kulinda Mali zao walizoziacha NCHINI!!

Maendeleo yatafika kote bila kujali kuna Mali za wajerumani au waingereza!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko [emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani wanalinda Mali zao ktk ardhi Ambayo sio Yao na hawana operation yoyote Ile ya maana endelevu kuhusu mali hizo
 
Hio namba 1 kuna mtu kamuoa mama yake mzazi na kamzalisha mtoto mmoja.
Thus kwao KILA nyumba moja pana mgonjwa wa kifafa sababu ya kuoana watu wa nasaba moja.
Duhh [emoji28][emoji119]
 
Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko [emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani wanalinda Mali zao ktk ardhi Ambayo sio Yao na hawana operation yoyote Ile ya maana endelevu kuhusu mali hizo
Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?

Unafikiri wamejenga Ili WEWE uende mbinguni kwa yesu kristo!!? UNAFIKIRI mitume 12 walihitaji yesu awajengee majengo Ndio wamwamini kama hao wa katoliki wafanyavyo!!!?

Niishie hapo wasije nitafuta hao watawa!naomba uimbe wimbo Huu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
 
Wazungu janja janja sana unakuta eti Mzungu yupo Morogoro analima nyanya mwingine yupo rungwe eti analima parachichi na makazi yao hukohuko porini.
Wengine wanajifanya wafadhili wanakarabati majengo ya maofisi na mashule
 
Hivi si ndio pale wanauza karanga hadi usiku wa manane utawakuta wadada barabarani wameshika nailoni zina karanga ndani? Pia nilisikia story kuhusu hao wadada wanaokesha barabarani hadi usiku mwingi sana
 
Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?

Unafikiri wamejenga Ili WEWE uende mbinguni kwa yesu kristo!!? UNAFIKIRI mitume 12 walihitaji yesu awajengee majengo Ndio wamwamini kama hao wa katoliki wafanyavyo!!!?

Niishie hapo wasije nitafuta hao watawa!naomba uimbe wimbo Huu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
You have to know that Mimi hayo yote na yajua najua Namna dini zilivyo anzishwa zilikuwa ni package iliyopo ktk siasa za kale , dini ni siasa inayo tumika kutawala watu yote hayo Nina yajua

Nilicho shangaa ni hiyo sheria uliyo nitajia
 
Hahaaa ndio nimejua Leo kuwa Kuna Hilo tamko
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png

Yaani wanalinda Mali zao ktk ardhi Ambayo sio Yao na hawana operation yoyote Ile ya maana endelevu kuhusu mali hizo
Kwa MAWAZO yako unafikiri Haya makanisa makubwa ya parokia na mission yaliyokwisha jengwa kwenye milima na mapori ni ya nini!!?zaidi ya kulinda UTAJIRI wa madini iliyopo eneo husika!!?

Unafikiri wamejenga Ili WEWE uende mbinguni kwa yesu kristo!!? UNAFIKIRI mitume 12 walihitaji yesu awajengee majengo Ndio wamwamini kama hao wa katoliki wafanyavyo!!!?

Niishie hapo wasije nitafuta hao watawa!naomba uimbe wimbo Huu;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA
You have to know that Mimi hayo yote na yajua najua Namna dini zilivyo anzishwa zilikuwa ni package iliyopo ktk siasa za kale , dini ni siasa inayo tumika kutawala watu yote hayo Nina yajua

Nilicho shangaa ni hiyo sheria uliyo nitajia
Mkuu hao sheria haipo but hufanya makubaliano ya Siri!!
 
Bado lawama haziwezi kuacha kutupiwa Kwa viongozi, serikali Ina wajibu wa kupeleka elimu husika Kwa wananchi na kuwaeleza umuhimu wa kujikita ktk utafutaji na kujikomboa kutoka ktk umasikini wa kiuchumi na kifikira he hayo yanafanyika na kama yanafanyika ni Kwa ukubwa upi

Kuna Jamii nyingine zimejikita ktk kuyafanya hayo unayo yaeleza Kwa sababu ni Jamii ambazo bado zipo ktk ulimwengu Giza wa kiutambuzi ila Endapo wakifikishiwa elimu kwa kina Kwa namna Moja au nyingine lazima watajitoa ktk hicho kivuli Cha ujinga wa matendo Yao
Big up mkuu.. umemsaidia kifikra
 
Back
Top Bottom