Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Pale Kasita Friary ni kituo cha malezi kuna wanaosomea upadri kama Mimi na wengine ubruda. We mtoto wa Uponera au Isongo.
Mimi mzamiaji tu.

Nasikia Milton Obote alivyopinduliwa huko Uganda, Nyerere alienda kumpa asylum huko Sali kwa wapogoro.
 
Daah wapogoro na waluguru fundi bwana


Nilikuwa sua dada zao walinilemaza sana

Sikusumbuka na mademu wa chuo kwa sana
 
Wapogoro huwa wana tabia fulani za kijinga au kipuuzi. Tulikuwa tukihitaji vitu fulani kwao sasa badae walipojua na mwenyeji wetu ni mpogoro wakaanza figisu, yani hawapendani wao kwa wao ndio mana mgeni rahisi kufanikiwa kule kwao.
Hii nilisikia pia hata kwa waluguru pia nao hawapendani

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwa siku hizi, kipindi hicho simu zilikuwa zinaruhusiwa tena tukifika darasani mwalimu anasema zimeni simu au weka silent la sivyo nitakutoa darasani, ila o level walikuwa hawaruhusiwi kuingia na simu darasani
Miaka ipi hiyo? Mbna maajabu khaaah.
Siku hizi shule zote za GVT hawaruhusu Cm.
 
Nambie mkuu.
Nipo nakatisha ticket za mabasi ya kwenda Mahenge huko Burundi. Tukielewana vizuri naweza nikawa nakupa ticket za bure.
Usiulize uhusiano wa Mahenge na Burundi, wewe elewa mabasi yapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cnaa, khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi hoi, bas kaka angu alipata tabu sana, duuuh.
 
Miaka ipi hiyo? Mbna maajabu khaaah.
Siku hizi shule zote za GVT hawaruhusu Cm.
Mi nimesoma advanced pale 2007/2009, na sio kwamba shule nyingine za gavoo walikuwa wanaruhusu, hata shule niliyosoma ya o level simu ilikuwa ni kosa la kukufukuzisha shule, ila pale Kwiro simu tulikuwa tunaruhusiwa kuwa nazo
 
Mi nimesoma advanced pale 2007/2009, na sio kwamba shule nyingine za gavoo walikuwa wanaruhusu, hata shule niliyosoma ya o level simu ilikuwa ni kosa la kukufukuzisha shule, ila pale Kwiro simu tulikuwa tunaruhusiwa kuwa nazo
Mwambie tuliwekewa kabisa na sehemu za kuchaji Kule Dining Hall. Yaani Head master anauliza wanafunzi kama Kuna mtu anauza vocha za Tigo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie tuliwekewa kabisa na sehemu za kuchaji Kule Dining Hall. Yaani Head master anauliza wanafunzi kama Kuna mtu anauza vocha za Tigo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa dining
Hapa jiko
Hapa kuni zinapasuliwa
Hapa nyuma bustani
Hapa bweni.

Ila kwiro ni mvuragano sana.
 
Nitamuuliza Mwl Mapunda kama unachosema ni cha kweli au unawapotosha wapwa.
Ni kweli kabisa. Alichosema mkuu Kuna wakati hapo Kwiro sim ziliruhusiwa niliyokua Form 6 ndo zilikatazwa.

Ishu ilikua hivi walikuja wakaguzi wa Elimu sasa Kuna mwana mmoja akawa anaongea na simu pale karibu na bendera. Wale wakaguzi wakamgeukia Mkuu wa Shule almarufu kama Kimbunga vipi huku sim zinaruhusiwa??? Mkuu akajitetea kwamba kwa sababu shule ipo mbali sana waliona sio vibaya wanafunzi Kuwa nazo.

Kesho yake mkuu akaja assembly akasema " yaani Mimi nawaachia mtumie simu nyie mnakuja kuniabisha mbele ya wakaguzi???? Kuanzia leo hakuna ni marufuku simu kutumia kwa uwazi au kwenda nayo darasani"

Tukaendelea kutumia kisela. Sasa siku moja Kuna Dogo alihama pale(Dogo ana ndugu yake mkubwa tuu wizara ya Elimu inavyodaiwa) akahamia Malangali kama sikosei kufika kule akanyang'anywa simu.

Akalalamika mbona Nilipotoka (Kwiro boys) simu ni Ruksaaa yaani kama unanawa vile, matangazo ya vocha mpk chooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani ukiwa unakata gogo ukiangalia mlangoni pameandikwa (Vocha za Voda njoo Chemba ya HP)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Taarifa zikafika juu ndo mzee baba Headmaster akapigiwa simu moja kesho yake zile socket kule Dinning tunakuta zimetolewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie tuliwekewa kabisa na sehemu za kuchaji Kule Dining Hall. Yaani Head master anauliza wanafunzi kama Kuna mtu anauza vocha za Tigo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama amesoma hivi karibuni anaweza akadhani tunachangamsha kijiwe
 
Nmefika Mahenge, kwa kweli ni sehemu ina mndhari nzuri sana.
Baridi na uoto wa miti mingi na kijani tupu ni raha sana.
Ni kweli lazima iwepo barabara kuifungua hii sehemu ,.
Barabara hii ikitoka Ifakara mpaka Songea itapendeza sana.
 
Hii ndio simulizi sahihi sasa ya wakati huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…