Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Sasa ushahidi kuhusu kauli yako ni upi hapo?
 
Mm nilipanda pikipiki kwenda mahenge nilitokea mavimba assee nilishuka ulemlima ninoma jombaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi kizungu zungu, woiiiiiiih.
 
Maaskofu
Patrick Iteka
Nikasius Kipengele
Elias Mchonde
wote walifariki wakiwa ni maskofu wa Jimbo hilo.
Historia inaonyesha hilo ndilo jimbo linaloongoza Tanzania kwa maaskofu kufariki wakiwa madarakani
Lakini baada ya hapo Agapiti Ndorobo kakaa muda mrefu . Haina maana kwamba wakifa ni mkosi ama kurogwa ...

Tatizo la makasisi/mΓ askofu ni kutozingatia lishe bora matokeo yake wote huandamwa na magonjwa ya WAJINGA kama vile Moyo, sukari, ini, figo, mapafu, kansa
 

hapo kwenye maaskofu kutozingatia lishe bora sikubaliani na wewe.
Nilihudhuria misa ya daraja takatifu la uaskofu ya Askofu agapiti ndorobo nikitokea jimbo kuu Dodoma kama mseminaristi
Kusema kweli kule Mahenge suala la ushirikina kwenye vifo vya maaskofu waliopita lilikuwa linazungumzwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna waliofariki kwa ajali hapo, hilo halihusiana na msosi japo mapadre wetu kwa misosi sio wachovu.
 
So Ndorobo ni dawa ya vigagula vya kipogoro ?
 
Nimefika Mahenge miaka ya nyuma kidogo. ni mji mdogo uliopo mlimani, kuna seminari, Kanisa la RC ni jimbo kuu la Mahenge kama sijakosea, pembeni ya Kanisa `kuu ipo sekondari maarufu na ya siku nyingi ya Kwiro, pale sokoni wamejaa Wanyakyusa, tatizo la Mahenge ni sawa na tatizo la kwa akina Zitto yaani Kigoma, wengi wao wanaamini sana mambo ya uchawi na hawataki kujenga kwao kuhofia kurogwa, hivyo ndio wanadai, lakini mimi sababu kuu ya kudumaa kwa miji ya aina ya Mahenge ambayo inalingana nayo kama vile Liwale, Kilosa, ni kutokuwa na barabara kuu zenye viwango vya lami, kwani maendelo huletwa na muunganiko wa barabara zinazopitika wakati wote yaani za kiwango cha lami .
 
Sasa najua kwanini mzee hataki kwenda kwao ....,me mpogoro aseee ila sijui kama wapogoro wana makalio makubwa[emoji1787]
 
Yaani wazungu wafungue huko chini halafu wabongo wasijue?
 
Ruby si ndo inasemekan riziman amehodhi eneo lote na wachimbaj wametolewa nduki......
 
Upo sahihi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…