Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Wapogoro huwa wana tabia fulani za kijinga au kipuuzi. Tulikuwa tukihitaji vitu fulani kwao sasa badae walipojua na mwenyeji wetu ni mpogoro wakaanza figisu, yani hawapendani wao kwa wao ndio mana mgeni rahisi kufanikiwa kule kwao.
 
Wapogoro tupo juu hadi umefunguliwa uzi duh...haya bwana, ngoja niende Mwaya nikatafute mahitaji yangu
tusaidie kaka ukweli kuhusu nyie... kwa nini hakuna maendeleo kwenu?? kuanzia maisha mpaka miundo mbinu na mfumo mzima wa uongozi??
 
Katiba mpya itahakikisha wakoloni hawatupi masharti kwenye ardhi yetu wenyewe KWA kisingizio cha kulinda Mali zao walizoziacha NCHINI!!

Maendeleo yatafika kote bila kujali kuna Mali za wajerumani au waingereza!!


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Hahaaaaaaa
 
Hiyo wilaya sina ham nayo[emoji27] niliajriwa huko aisee unaweza kuhisi hauko Tanzania
But nashukuru kuajiriwa mazingira mabaya kama hayo ndo kulipelekea niache kazi now nimejiajir na na maisha yangu supper but hiyo Wilaya [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…