Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Yeah ukiacha udzungwa hiyo ni Kilombero, mahenge pia kuna sehemu yaitwa man'guls kuna sanduku kabisa lina kufuli kubwa wote wanaogopa kufungua, wazungu huwa wanakuja kila baada ya miaka mitatu wanasindikizwa na askari wanasubir nje jamaa wanaenda fungua chini.

Mahenge pekee Ina site 300 za hazina zilizofichwa kipindi cha vita ya pili,kwa mujibu wa ramani za site zote nchini.
Waisrael wanajenga barabara ya lami wanatafuna hizo hazina balaa.
 
Niwe tu mkweli kwa nilivyo wafahanu japo kwa uchache...
1. hawana roho nzuri japo usoni wanaweza kucheka ( ndugu zako anaweza akawachekea Ila asiwapende)
2.Ni wachoyo
3.wanafiki mno ndio mana hawaendelei
4.Ukikaa vibaya unalogwa limbwataa

Hapa shida ni elimu
 
tusaidie kaka ukweli kuhusu nyie... kwa nini hakuna maendeleo kwenu?? kuanzia maisha mpaka miundo mbinu na mfumo mzima wa uongozi??
Suala zima la maendeleo ni ya njii hii ni la Serikali, hata Mikoa ya Kusini pia ilisahaulika. Wilaya ya Mahenge ilikuwa kubwa sana hadi ikagawanywa Malinyi ijitegemee.

Lastly madini ya njii hii yanavunwa tu hayatoi mrejesho maeneo husika...sehemu pekee utapata Luby ni Mahenge tu lakini tumeachiwa mashino kule
 
kwa nini wananchi mlikubali kuachiwa mashimo?? mmeaona wenzenu mtwara waligoma gas yao.. pia suala la maendeleo ni la wananchi na uongozi sio serikali mkuu ndio mana basi mnafeli
Suala zima la maendeleo ni ya njii hii ni la Serikali, hata Mikoa ya Kusini pia ilisahaulika. Wilaya ya Mahenge ilikuwa kubwa sana hadi ikagawanywa Malinyi ijitegemee.

Lastly madini ya njii hii yanavunwa tu hayatoi mrejesho maeneo husika...sehemu pekee utapata Luby ni Mahenge tu lakini tumeachiwa mashino kule
 
Mahenge pekee Ina site 300 za hazina zilizofichwa kipindi cha vita ya pili,kwa mujibu wa ramani za site zote nchini.
Waisrael wanajenga barabara ya lami wanatafuna hizo hazina balaa.
nakubaliana na wewe kwa maana hata lile kanisa tukawa tunaambiwa chini kuna vitu na misalaba yote ilowekwa milimani kuna vitu chini... ila hiyo barabara inayojengwa inajengwa wapi mkuu mana hakuna lami kule.. nasikia tu kuna njia ya songea inatobolewa.. madini yapo mengi mno..
 
kwa nini wananchi mlikubali kuachiwa mashimo?? mmeaona wenzenu mtwara waligoma gas yao.. pia suala la maendeleo ni la wananchi na uongozi sio serikali mkuu ndio mana basi mnafeli
Jaribu kufuatilia vizuri suala zima la maendeleo ni la nani? wananchini daraja tu!! Ndio maana kuna bajeti za Maendeleo zinapitishwa na Bunge na kusimamiwa na Serikali. Na huduma bora zote zinawekwa na Serikali lakini zinachangiwa na wananchi. kazi kubwa ya Wananchi na Serikali zao za vijiji au mitaa ni kuanzisha mchakato tu wa wapi zijengwe shule, hospitali, barabara nk
 
Wapogoro wanahamasishana kwenda kwa Nyerere kumpokea kwa shangwe

"Tukamfil bab nyerer, Tukamfil bab nyerer."

Nyerere akaona usinitanie, nduki akala kona na mkutano haukufanyika[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...

Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,

"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" [emoji23] [emoji1787]

Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mahenge khaaaah.
 
Hio namba 1 kuna mtu kamuoa mama yake mzazi na kamzalisha mtoto mmoja.
Thus kwao KILA nyumba moja pana mgonjwa wa kifafa sababu ya kuoana watu wa nasaba moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
nakubaliana na wewe kwa maana hata lile kanisa tukawa tunaambiwa chini kuna vitu na misalaba yote ilowekwa milimani kuna vitu chini... ila hiyo barabara inayojengwa inajengwa wapi mkuu mana hakuna lami kule.. nasikia tu kuna njia ya songea inatobolewa.. madini yapo mengi mno..
Njia ya Songea ishatobolewaaa. Ila kule mmmmh hapana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom