Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Wapogoro wanahamasishana kwenda kwa Nyerere kumpokea kwa shangwe

"Tukamfil bab nyerer, Tukamfil bab nyerer."

Nyerere akaona usinitanie, nduki akala kona na mkutano haukufanyika[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...

Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,

"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" 😂 🤣

Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. 😂
Ndiyo hao hao wanaokaa siti za mbele wakipanda basi kwa lengo la kufika haraka Dar! 😬
 
Niwe tu mkweli kwa nilivyo wafahanu japo kwa uchache..

1. Hawana roho nzuri japo usoni wanaweza kucheka (ndugu zako anaweza akawachekea Ila asiwapende)
2. Ni wachoyo
3. Wanafiki mno ndio mana hawaendelei
4. Ukikaa vibaya unalogwa limbwataa
Cc Sizinga
 
Hiyo wilaya sina ham nayo[emoji27] niliajriwa huko aisee unaweza kuhisi hauko Tanzania
But nashukuru kuajiriwa mazingira mabaya kama hayo ndo kulipelekea niache kazi now nimejiajir na na maisha yangu supper but hiyo Wilaya [emoji119][emoji119][emoji119]
Sasa kama ulishindwa kuishi Mahenge utaweza kuishi Buhigwe ?
 
Suala zima la maendeleo ni ya njii hii ni la Serikali, hata Mikoa ya Kusini pia ilisahaulika. Wilaya ya Mahenge ilikuwa kubwa sana hadi ikagawanywa Malinyi ijitegemee.

Lastly madini ya njii hii yanavunwa tu hayatoi mrejesho maeneo husika...sehemu pekee utapata Luby ni Mahenge tu lakini tumeachiwa mashino kule
Hakujawahi kuwa na Wilaya ya Mahenge, Wilaya ni Ulanga ambayo zamani iliimeza hadi Kilombero na Malinyi.
 
Mahenge ni wilaya inayopatikana kusini mwa mkoa wa Morogoro na kabila la Wapogoro ndio wanapatikana huko.Ikiwa eneo la juu (Mlimani) na hali ya hewa ya ubaridi na mvua mvua.

Wilaya hii ina vivutio na siri nyingi mno, kihistoria,kiserikali na hata kidini (Je, umewahi kuisikia Wilaya hii na unapata picha gani juu yake?)

Vivutio; kwa upande wa vivutio kuna;
1. Kabila lenyewe linalopatikana huko (wapogoro) asili yao na lugha yao,tamaduni na style yao ya maisha. (kuoana ndugu mradi wasitike nababu mmoja) Uzuri wa wanawake wao wana miili yenye nguvu mno..

2. Ardhi na landscape yake, jinsi kulivyo na miinuko na misitu na vile ambavyo mji umechongwa.

3. Majengo ya mjerumani (boma) ambalo linatumika kama ofisi kuu za serikali (wilayani) na jengo la mkuu wa wilaya . Lakini pia majengo ya wamisionari (kanisa katoliki la tatu kwa ukubwa la tanzania lilojengwa kwa mawe tupu na mji wake ikijumuisha na shule zilojengwa na wao)

4. Misitu na miti pekee, na alama zilowekwa juu ya milima na misituni na wakoloni, hivyo ni baadhi.

Siri zilizoko;
1. Kuna madini ya aina mbali mbali yanayopatikana na kuchimbwa huko (rubi, spinal, greentomalin, uno, dhahabu na hata almasi)

2. Kutokana ni mji wa kikoloni, Mjerumani na Muingereza walikuwako huko hivyo alama zao juu ya milima na misitu zinamaana fulani, je ni ipi?

3. Kwanini wilaya hii licha ya kuwa na vyote hivi lakini bado imefungwa kimawasiliano ya barabara??? njia ni mbovu lakini pia haitoki inatoka kwa njia za mikato pekee.

4. Toka miaka viongozi wake wamekuwa wakinifaidisha wao, maajabu maendeleo yao pia yamekuwa hayaonekani sio kwa wao tu hata kwa ndugu zao (viongozi walowahi kutoka huko kwa uchache Late Amati liyumba aliwahi kuwa BOT, Late Mama Celina kombani alikuwa mbunge kabla CCM hawakumpa asante ya kumuweka mwanae kuwa mbunge baada ya mama yake Bw. Goodluck Mlinga ambae ameshindwa kuchukua jimbo mara baada ya miaka mitano kuisha .Sasa linashikiliwa na Bw. Almasi.

Je, kwanini hakuna maendeleo?

Je, kwanini viongozi wa huko ni kama wanaogopwa na wapogoro?

Je, kwanini mpaka leo barabara ni ya vumbi na kuna muda inakuwa mbaya na chafu kabisa?? kama unaogopa mlima kitonga basi usiendeshe kwenda Mahenge kuna mlima unaitwa ndororo ni hatari mno..

Kwa nini Viongozi wanaweza kaa msimu mzima wakaenda tembelea jimbo mara moja? especially walopita!!

Mimi nimeeleza vitu baadhi, waeza jazia vingine vile unafahamu kuhusu mji huu pia kuweza kualika kiongozi unae mjua aje ajibu baadhi ya hoja. Pia hata kueleza maswahibu au vituko ulivyowahi kutana navyo kwa mji huu maana na hata uchawi upo na wanatumia live.

cc: Goodlucky mlinga
cc: Mkuu wilaya mahenge ulanga na mkurugenzi wake..
cc: Mbunge wa sasa Bw.Almasi
Mahenge ipo wilaya ya Ulanga, nitakuja tiririka baadaye utajili walionao, na kwanin wakazi wake wanaishi kimasikin, huku wageni wa kisukuma wakitajirika.
 
Mpogoro katoka kwao mahenge huko, kuja dar...

Kurudi ndio anawasimulia wenzie kuwa yeye ni mjanja saanna,

"kondakta kusema, ubungu, ubungu nikabanishi, njwii, mpaka manzese kumkomoa dereva" 😂 🤣

Yaani akimaaisha konda gari ilipofika ubungo akatangaza kituo, yeye hakushuka akabana kwenye gari, kaenda kushukia manzese kwa kumkomoa dereva. 😂
Na mtani wangu anarudi Ubungu kwa miguu
 
Mengi waliweka Ulinzi wa majini wakayaroga majini yasiweze kuondoka maeneo hayo Ili kuficha mali hadi wao au vizazi vyao ndivyo vije kutoa.
Wao huja kama wawekezaji, wakulima, wafadhili,nk.
Mnapenda sana kulishana taarifa za uongo uongo mitandaoni, hayo unayoyasema hayana ukweli hata kidogo. Mimi kama mwana akiolojia nayakanusha kwa herufi kubwa.
 
Mahenge ipo wilaya ya Ulanga, nitakuja tiririka baadaye utajili walionao, na kwanin wakazi wake wanaishi kimasikin, huku wageni wa kisukuma wakitajirika.
utakuwa umetusaidia sana mkuu,, natamani watu wajue siri za lile eneo kule .. lina pesa ila wachache ndio wanajua na kufaidi nilitamani famya project ya kusaidia wazawa kujitambua na kutambua fursa zilizopo kwao.. ila waliharibu walipoanza kutunyima data kisa mwenyeji wetu ni mpogoro mwenzao
 
Back
Top Bottom