Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Yaani Ndororo hiyo Molina inatisha Sana, Kona nyingi na vidaraja yaana mazingira yanatisha. Alafu ukitoka Mahenge kuelekea Mwaya kupitia Ilonga Kuna Milima mingine pia Ina Kona nyingi Ni hatari Sana, Ila Sasa madereva wa Kidnilo exp Wana roho ngumu Sana, wanavyopandisha hiyo Milima Kama una roho ndogo, utatamani ushuke. Hali ya hewa Kule Mahenge Ni nzuri Sana
 
Mlima mwingine unaitwa Mbangayao, upo kwa mbele kidogo ukitoka pale shule ya wa wasichana ya Kanisa la RC.
 
Hio bar mmiliki ni mwanamke wa kichagaa, ila wachimbaji wanapapenda sababu ndio sehemu kidogo inaonekana kwa hapo town
sasa kuna sehemu ngoja niwape kodi,, inaitwa kwa dit rich, kuna sehemu ukiingia ndani kama uko dar panaitwa club exchange ,kuna hiyo river side, kuna stone pub, na ku moja ipo panaitwa safari road nimesahau jina .. hutajutia kama una taka mambo yale na lile baridi kule si mchezo... wapogoro wana mvuto si masihara..
 
Nadhani Kuna moja upande state lorge, ukiingia ndani ilivyonakishiwa Morogoro mjini hakuna. Jamaa kawekeza kweli Ila wateja ndiyo kiduchu. Sidhani Kama ataweza rudisha fedha aliyowekeza pale
 
sasa kuna sehemu ngoja niwape kodi,, inaitwa kwa dit rich, kuna sehemu ukiingia ndani kama uko dar panaitwa club exchange ,kuna hiyo river side, kuna stone pub, na ku moja ipo panaitwa safari road nimesahau jina .. hutajutia kama una taka mambo yale na lile baridi kule si mchezo... wapogoro wana mvuto si masihara..
Acha ni screenshot Hii comment.. wiki mbili zijazo naenda.. ingawa mwilii Huwa unauma nikipigia ubovu wa road kutokea ifakara kwenda mahenge
 
Back
Top Bottom