Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Hebu weka na picha basi ili tujikumbushe. Nimeishi kwa miaka mingi sana huko Mahenge na pia Malinyi.

Tena enzi zile za kupandisha mlima Ndororo na landrover 109! Huku ikiwa imejaza mzigo wa kutosha kutoka Ifakara, halafu abiria mnakaa juu ya machuma.
Mlikaa vipi kwenye machuma wakati njia nzima imejaa miti ambayo inaweza kuku kill.
 
Mlikaa vipi kwenye machuma wakati njia nzima imejaa miti ambayo inaweza kuku kill.
Miaka ya nyuma usafiri ulikuwa changamoto sana huko. Gari nyingi zilikuwa ni lori aina ya fuso, canter, landrover 109, na pickups.

Hivyo ili mpandishe huko, hizo gari lazima zijaze mzigo wa kutosha! Halafu abiria ndiyo mnakaa juu ya mabomba.

Na usafiri huo huo wa malori, ulikuwa pia ni common kwa safari za Ifakara - Mbingu - Mngeta - Chita mpaka Mlimba. Sijui kwa miaka ya sasa. Huenda basi aina ya Tata zikawa nyingi zaidi.
 
inapitika?? alooh tumishukuru kukuta daraja la muheshimiwa Magufuli pale kilombero unless otherwise we could use panton kama miaka hiyo...
Enzi hizo tukishuka zetu pale kivukoni kutoka Mahenge mida ya saa nne nne hivi, tulikuwa tunanunua samaki (perege kwa jina maarufu 'ngarangi'), halafu tunaingia zetu kwenye Pantoni, tunavuka upande wa pili na gari letu, haoo Ifakara!!!
 
Mahenge ni pazuri sana
1. Kuna uoto wa asili
2. landscaping nzuri sana
3. Ulazi
4. Sangula
Ila maendeleo na afya za wananchi waliowengi ni hafifu sana, bado kuna watu wanaugua ukoma maeneo yale,
UKIMWI uko juu sijui shida ni nini , pia watu bado wanazo tamaduni za zamani ambazo kwa usasa sio nzuri kuzifuata matambiko ni mengi sana.
Ukitaka kula kimasihala ndo mahala pake kuna kipindi nilipanda 109 kutoka Tazara ya Ifakara na mtoto mmoja ndinga ikiwa imejaa pomoni kuelekea Mahenge mtoto aliniwekea tako kwenye dushe, kutokea kivykoni hadi mahenge stendi niliposhuka nikamuomba mzigo nikawatua wazungu yeye alikuwa anaelekea Mwaya me naelekea Kwiro
 
Wapogoro huwa wana tabia fulani za kijinga au kipuuzi. Tulikuwa tukihitaji vitu fulani kwao sasa badae walipojua na mwenyeji wetu ni mpogoro wakaanza figisu, yani hawapendani wao kwa wao ndio mana mgeni rahisi kufanikiwa kule kwao.
ukweli kabisa wanapenda majungu kuliko kazi
 
Back
Top Bottom