Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Hadi leo kwa anaenipanga kimaisha siwezi kumshauri aanzie hapa DSM bora akajikite Mbeya, Njombe, mwanza, Kahama, mafinga, katoro, Tunduma, sehemu ambayo sikuielewa Songea mzunguko uko chini kidogo Mbinga au kwa mtwara masasi.
Mbinga penyewe, songea pagumu hatari
 
Mwanza na Arusha wanalingana almost sawa kwa ukubwa ila Mbeya bado padogo
 

watu wa arusha na kujitutumua kwao kote mitandaoni, kumbe kamkoa kao kana tugorofa 7180 tu. aisee acheni dar ibaki kuwa dar.
 
usikute wamehesabia na zile gorofa za kuhifadhia majani makavu ya ng"ombe na mbuzi!
Hamjui Kilimanjaro, Kilimanjaro sio pale Moshi mjini tu, Kilimanjaro wilayani/vijijin Kuna majengo na makazi mazuri kuliko mjini
 
Hayo maghorofa msifikiri lazima yawepo cbd ya jiji au mji kuna watu wana mijengo migombani huko ila cbd ni hoi
Naam mfano huko Kilimanjaro mijengo ya kifahari IPO Vijijin na wilayani kuliko mjini
 
Kilimanjaro ni kama Wana Israel
Imagine kamkoa kadogo lakini kanazidi mikoa mikubwa kwa maghorofa kama Kagera,mwanza,mbeya etc
 
instanbul hapa napo Kagera imepigwa na kitu kizito na Kilimanjaro
Mkoa WA Kilimanjaro Kwakweli una maajabu imagine kamkoa kadogo lakini kanazidi mikoa mikubwa kwa maghorofa kama Kagera mwanza mbeya
The blessed Kilimanjaro
 
watu wa arusha na kujitutumua kwao kote mitandaoni, kumbe kamkoa kao kana tugorofa 7180 tu. aisee acheni dar ibaki kuwa dar.
Kuwa na gorofa nyingi au chache husababishwa na mazingira au geographia ya sehemu husika utaleta vichekesho kwa wenye akili mfano unalo eneo au unakaa ndani ya eneo la hekari 2 then unajenga gorofa hii haipendezi
Gorofa jengeni huko kwenye viwanja vyenu vya 20×20 hapo uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…