Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Mkuu hongera sana kwa bandiko zuri kuhusu Japan, hakika umenikumbusha mengi
 
Nashukuru kwa kuongezea nyama, japo binafsi sijawahi kukutana na hiyo kadhia ya kubaguliwa
 
Nimeipenda maelezo yako, ila una bahati njema hujawahi Kukutana na ubaguzi,Wajapani wabaguzi Sana Kwa watu weusi
 
Mkuu mimi ni mwalimu wa kingereza nipo bongo, vp nikienda huko nitapata mchongo au wanapewa kipaumbele wazungu zaidi? Mifumo yetu ya elimu inatambulika huko?. Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kijapan na utamaduni wao, maana bila hivo hamtaelewana nao
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„Kiwanda Cha KUMAMOTO๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
 
Mkuu naskia wajapani wana sku maalum ya kiadhimisha mkuyenge aka dushe na nikila mwaka maadhimisho hayo hufanyika. Yakweri hayo?
Kweli mkuu tena hii ni sherehe kubwa sana na wanapita mtaani na mitaa inafungwa, linakuwa bonge la mkuyenge linawekwa kwenye vigari halafu wadada baadhi wanaushikilia unazungushwa mitaa wakiwa
 
Kweli mkuu tena hii ni sherehe kubwa sana na wanapita mtaani na mitaa inafungwa, linakuwa bonge la mkuyenge linawekwa kwenye vigari halafu wadada baadhi wanaushikilia unazungushwa mitaa wakiwa
Lengo lao ni nn mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ