Oooh Yamanashi mkuu Kama ni hapo Kuna umbali kidogo kwenda Hiroshima, na ni mji mzuri mno, na kule milimani huwa wanalima nini? Maana nikipita kwenye treni huwa naona kijani tu then kwa hiyo mkuu ulikula mademu wa Yamanashi sio😂😂halafu ukawakimbiaHapana mkuu. Nilisema kama unatumia njia kuu ya train. Jina lake linaunganishwa na maneno mawili yenye maana. Neno la kwanza ni Yama=Mlima/milima. Kama unajua kusoma Kanji ni: 山口
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutojuta mkuuNimependa ulivyoekezea hakika umeandika kwa nia nzuri,Mungu akubariki.Mimi binafsi nimekuwa na shauku yakufika japan siku moja,mwaka Jana nilijichanganya kidogo tu ilikua niende huko,ila bado sijakata tamaa huenda wakati mwingine na Mimi nikashuhudia hata kwa kuwa Mimi pia ni muumini wakusafiri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kuliko dubaiKabisa kaka ile nchi acha kabisa
KUMAMOTO PRODUCT co.ltd [emoji4][emoji4]
Duh!Asante mkuu! Ni kweli kuna mji unaitwa Kumamoto na mwingine Takauchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuishi Kwenye DUNIA ya Kwanza ni Neema mkuuHongera ya nini mkuu?
Okay hapo nimeelewa kiongozi.hii inatokana na demand ya pesa yao katika soko la dunia
(if demand is less then value of money inakua propotional hence vice versa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliuza Mechi (Aliloweka Mpaka Faida)Naipenda sana hii kampuni natamani nikafanye kazi huko....moja ya kampuni bora sana kampuni ya kumamoto.co ldt
K moto co.ltd, he hamna K baridi co.ltdUsishangae mkuu
Oooh Yamanashi mkuu Kama ni hapo Kuna umbali kidogo kwenda Hiroshima, na ni mji mzuri mno, na kule milimani huwa wanalima nini? Maana nikipita kwenye treni huwa naona kijani tu then kwa hiyo mkuu ulikula mademu wa Yamanashi sio[emoji23][emoji23]halafu ukawakimbia