Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Huu utamaduni wa rush hour nimeshuhudia mara nyingi ukifanyika japo sikutaka kufatilia kiundani binafsi kwanza ulikuwa unaniboa sana, ukifanyika unafanyika mara 2 kwa siku asubuhi na jioni barabara zinafungwa, safari zote zinasimama mpaka wamalize na Kama uko kazini inakubidi uwahi kutoka kabla hawajaanza, kwenye vyakula vyao sikuwa muumini sana Kuna migahama kwa ajili ya vyakula vya kiafrica nilikuwa nakula huko.

Japan haiilipi mishahara mikubwa ukilinganisha na nchi za ulaya labda Kama umeajiriwa na kampuni ya kimataifa nje ya Japan na ukapelekwa pale kufanya kazi tu Mfano:
Kwa mtu asiye na ujuzi yaani kibarua kwa japani unalipwa 1300Yen mpaka 3000Yen kwa saa na masaa ya kufanya kazi inategemea na nguvu zako

Kwa wenye ujuzi wanalipwa vizuri sana zaidi ya 8.28 mill. Yen na miongoni mwa kada zinazolipwa vizuri sana nchini Japan ni walimu wa kiingereza

Kuhusu suala la MAHUSIANO nadhani wajapan mnawachukulia tofauti tu ni Kama Tanzania wapo wenye majivuno na wapo walio wasio na majivuno na tangu niishi Japan sijawahi kuhisi nabaguliwa
 
katika moja ya kitu kinachonivutia kuhusu wajapani ni vyakula vyao.

huwa nafatilia sana videos zinazozungumzia vyakula vya kijapani toka kwa vloggers mbalimbali kule youtube. wajapan wanakula sana seafood na vyakula vya kiasili hususani vegetables.

utaratibu wao wa kupika ni ule wa kuchemsha badala ya kukangaa rosti kama tunavyopendelea sisi wabantu. jambo lingine katika mapishi yao, huwa hawapendi chakula kiive sana.
 
Kweli mkuu, huyo samaki Mimi alinishinda kabisa
 
Ndiyo MAPENZI ya ki-brazil yalinifanya route za hapo zisikatike😄😄, ilikuaje kuwaje mpaka ukarudi? Ama ulirudi kuwekeza?
 
Mkuu, nimerudi mazima. Sina plan yeyote ya kurudi kule labda itokee tu.... Nilikaa kule miaka 5 mpk nikawa nakiongea kijapani ila kwa sasa baadhi ya vocabulary zinapotea.
Ndiyo MAPENZI ya ki-brazil yalinifanya route za hapo zisikatike[emoji1][emoji1], ilikuaje kuwaje mpaka ukarudi? Ama ulirudi kuwekeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nimerudi mazima. Sina plan yeyote ya kurudi kule labda itokee tu.... Nilikaa kule miaka 5 mpk nikawa nakiongea kijapani ila kwa sasa baadhi ya vocabulary zinapotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃 Vizuri mkuu umerudisha pesa nyumbani usaidie kujenga uchumi
 
Nadhani hukuyaelewa zaidi yaleaandiko
 
Mjep
 
Wanajinyoga sana mkuu, Japan ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza kwa watu kujiua kwa kujinyonga ama kujitoa muhanga wanajirusha sana kwenye matreni yanayooenda kasi (Shikansen)

Kuhusu ubaguzi upo sana inawezekana ukawa hujakutana nao sababu ya labda style ya maisha uliyokua unaishi lkn ukichangamana nao wanaubaguzi sana japo hawaonyeshi hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…