No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.
Wakuu naona mnachanganya ma-file mkirejea hiyo fact no. 9
Ni kwamba:-
1: Siku (day) hupatikana kwa sayari kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake yaani rotation, kwenye solar system ni Dunia "Earth" tu yenye uwezo wa ku-rotate na Dunia uchukua saa 24 kumaliza one rotation na matokeo yake ni kupata "usiku na mchana"
2: Tendo la sayari kuzunguka Jua linaitwa revolution na matokeo yake ni kupata misimu ya mwaka kama autumn,summer nk.
NB: kwahiyo wakuu ni makosa kusema Jupiter siku yake ukamilika baada ya saa 9 kwa sababu hai-rotate.
-hii ni kwa mujibu wa astronomy ya Copernicus "Greece scientist"
mkuu naona umenipa mwanga maana nilikuwa najiuliza hapo juu wamesema kuna upande mmoja Wa Jupiter unachukua miaka 62 kuona jua vile vile na usikuWakuu naona mnachanganya ma-file mkirejea hiyo fact no. 9
Ni kwamba:-
1: Siku (day) hupatikana kwa sayari kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake yaani rotation, kwenye solar system ni Dunia "Earth" tu yenye uwezo wa ku-rotate na Dunia uchukua saa 24 kumaliza one rotation na matokeo yake ni kupata "usiku na mchana"
2: Tendo la sayari kuzunguka Jua linaitwa revolution na matokeo yake ni kupata misimu ya mwaka kama autumn,summer nk.
NB: kwahiyo wakuu ni makosa kusema Jupiter siku yake ukamilika baada ya saa 9 kwa sababu hai-rotate.
-hii ni kwa mujibu wa astronomy ya Copernicus "Greece scientist"
mkuu fafanua zaidi maana naona kuna kitu hakiko sawa.usiku na mchana unatokana na rotation ktk muhimili sasa kama kuona usiku inachukua miaka 60+ inamaanisha nn? so siku ya Jupiter haina mabadikiko ya usiku na mchana maana mmesema inatumia masaa 9 so hayo masaa ni mchana tu mpaka miaka 60+.nionavyo Mimi mwaka mmoja Wa Dunia ni sawa na miaka 60+ ktk Jupiter,maana kulizunguka jua ktk Jupiter ni miaka 60+ but dunia ni mwaka 1Mkuu kwa kumsaidia, hizo siku 9.9 ni kutokana na rotation yake kujizungusha kwenye muhimili wake (Sawa na dunia masaa 24 kujizungusha kwenye muhimili wake). Na hiyo miaka 60+ ya giza na ya mwanga ni kutokana na revolution yake kulizunguka jua(Sawa na dunia Mwaka 1 kulizunguka jua).
mkuu fafanua zaidi maana naona kuna kitu hakiko sawa.usiku na mchana unatokana na rotation ktk muhimili sasa kama kuona usiku inachukua miaka 60+ inamaanisha nn? so siku ya Jupiter haina mabadikiko ya usiku na mchana maana mmesema inatumia masaa 9 so hayo masaa ni mchana tu mpaka miaka 60+.nionavyo Mimi mwaka mmoja Wa Dunia ni sawa na miaka 60+ ktk Jupiter,maana kulizunguka jua ktk Jupiter ni miaka 60+ but dunia ni mwaka 1
Usiwe na wasiwasi mkuu, hivi vyote nilivyoviandika sikuvitoa kichwani kwangu ila nimevisoma sehemu na kujiridhisha. Lakini kwa vingi ya nilivyoviandika nilivisoma siku nyingi sana kiasi hiki kipande "cha kuwa miaka 62 ya giza na miaka 62 ya mwanga" nimekisahau nilikisoma wapi .... na nikikipata nitakiweka hapa.(mara nyingi naongea na ushahidi) Lakini kwasasa kwa vile sijakipata basi elewa walivyorekebisha waungwa hapo juu. Ila nakupa nadharia moja kwa hapa duniani kuna baadhi ya inchi kuupata mwanga wa jua ni nadra sana na hii iko ya 3 kutoka jua na ni ndogo sana tena sana kwa Jupiter (kumbuka giza ni kukosa nuru na mchana ni kupata mwanga) Je, inashindikana vipi kwa dude kama jupiter ambalo dunia ni x 1,000+ na iko mbali zaidi ya dunia kutoka kwenye jua ????mkuu fafanua zaidi maana naona kuna kitu hakiko sawa.usiku na mchana unatokana na rotation ktk muhimili sasa kama kuona usiku inachukua miaka 60+ inamaanisha nn? so siku ya Jupiter haina mabadikiko ya usiku na mchana maana mmesema inatumia masaa 9 so hayo masaa ni mchana tu mpaka miaka 60+.nionavyo Mimi mwaka mmoja Wa Dunia ni sawa na miaka 60+ ktk Jupiter,maana kulizunguka jua ktk Jupiter ni miaka 60+ but dunia ni mwaka 1
Zilete,tupo kwenye kujifunza na kuelimishana baadhi ya mambo yaliouzunguuka ulimwengu wetu kwa ujumla wake,kama kuna mahali upaelewi uliza au rekebisha na kama vipi jazia maana hivi vitu wamevifanyia uchunguzi na utafiti wazungu na wakaandika kwa lugha zao na wameziweka kila mtu kwenye website yake sasa si vibaya kuelimishana kwa jinsi ulivyolielewa wewe.Aaah.... contradiction ni nyingi mpaka kichwa kinauma
Si kweli, sayari zote za kwenye solar system zina-rotate kwenye muhimili wake (spinning), hata baadhi ya moons zina-rotate kwenye muhimili wake, ingawaje moon wetu (mwezi wa dunia) hau-rotate ndio maana siku zote tunaona upande mmoja tu wa mwezi. Hata hivyo kuna sayari kwenye solar system yetu zina-rotate anti-clockwise mfano Neptune
Usiwe na wasiwasi mkuu, hivi vyote nilivyoviandika sikuvitoa kichwani kwangu ila nimevisoma sehemu na kujiridhisha. Lakini kwa vingi ya nilivyoviandika nilivisoma siku nyingi sana kiasi hiki kipande "cha kuwa miaka 62 ya giza na miaka 62 ya mwanga" nimekisahau nilikisoma wapi .... na nikikipata nitakiweka hapa.(mara nyingi naongea na ushahidi) Lakini kwasasa kwa vile sijakipata basi elewa walivyorekebisha waungwa hapo juu. Ila nakupa nadharia moja kwa hapa duniani kuna baadhi ya inchi kuupata mwanga wa jua ni nadra sana na hii iko ya 3 kutoka jua na ni ndogo sana tena sana kwa Jupiter (kumbuka giza ni kukosa nuru na mchana ni kupata mwanga) Je, inashindikana vipi kwa dude kama jupiter ambalo dunia ni x 1,000+ na iko mbali zaidi ya dunia kutoka kwenye jua ????
Si kweli kivipi mkuu?
Astronomy ya form three Physics,inatuambia kuwa:-
"in the solar system only planet Earth has got two types of movement, rotation and revolution."
Hii ni copy and paste toka kwa Copernicus.
Njoo tena mkuu
We ndo umekuja kutuchanganya kabisa wai!
Solar system ipi mkuu? Hii ya kwetu sayari zote zina both, rotation and revolution. Mbona ipo wazi tangu primary school?
Solar system yetu hii hii ya "milky way"
Ebu kasome upya Geog hata ya std 5, utaona kila kitu kipo wazi.
Then kasome astronomy ya physics in deep utauona ukweli upo wapi.
Milky way sio solar system, ni sehemu ya galaxy lenye solar systems kibao. Kwenye milky way kuna mamillion ya sayari (planets).
swali kwa swaliKwani hapa sayari yetu kuku akiruka anaendaga wapi?
12Kumbe kila sayari ina mwezi wake? Hivi dunia ina miezi mingapi?