Ifahamu sayari ya Jupiter

Ifahamu sayari ya Jupiter

No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.

Ishu sio umbali kutoka jua, ishu ni speed ya kujizungusha kwenye muhimili wake (spinning). Lakini kumaliza kulizunguka jua (revolution) umbali unahusika sana. Ndio maana Jupiter year ina siku nyingi sana za duniani
 
Wakuu naona mnachanganya ma-file mkirejea hiyo fact no. 9

Ni kwamba:-

1: Siku (day) hupatikana kwa sayari kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake yaani rotation, kwenye solar system ni Dunia "Earth" tu yenye uwezo wa ku-rotate na Dunia uchukua saa 24 kumaliza one rotation na matokeo yake ni kupata "usiku na mchana"

2: Tendo la sayari kuzunguka Jua linaitwa revolution na matokeo yake ni kupata misimu ya mwaka kama autumn,summer nk.

NB: kwahiyo wakuu ni makosa kusema Jupiter siku yake ukamilika baada ya saa 9 kwa sababu hai-rotate.

-hii ni kwa mujibu wa astronomy ya Copernicus "Greece scientist"

Si kweli, sayari zote za kwenye solar system zina-rotate kwenye muhimili wake (spinning), hata baadhi ya moons zina-rotate kwenye muhimili wake, ingawaje moon wetu (mwezi wa dunia) hau-rotate ndio maana siku zote tunaona upande mmoja tu wa mwezi. Hata hivyo kuna sayari kwenye solar system yetu zina-rotate anti-clockwise mfano Neptune
 
Kwa principles za physics na zile big bang, sayari kubwa zilitakiwa ziwe karibu zaidi na jua na ndogo ziwe mbali na jua. Wanasayansi wanaami kuwa sayari nne za mwanzo kutoka jua zilitokana na kugongwa kwa Jupiter. Hii ina maana solar system ilianza na planet 4 tu. So dunia ina umri mdogo kwa Jupiter, infact, Jupiter ni mother planet yetu. Inaaminika kuwa samaki waliopo kwenye moon ya Jupiter (Europa) wanafana na sato wa ziwa Victoria. Hii ni kuonyesha kuwa life yetu ilianzia Jupiter.
 
Wakuu naona mnachanganya ma-file mkirejea hiyo fact no. 9

Ni kwamba:-

1: Siku (day) hupatikana kwa sayari kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake yaani rotation, kwenye solar system ni Dunia "Earth" tu yenye uwezo wa ku-rotate na Dunia uchukua saa 24 kumaliza one rotation na matokeo yake ni kupata "usiku na mchana"

2: Tendo la sayari kuzunguka Jua linaitwa revolution na matokeo yake ni kupata misimu ya mwaka kama autumn,summer nk.

NB: kwahiyo wakuu ni makosa kusema Jupiter siku yake ukamilika baada ya saa 9 kwa sababu hai-rotate.

-hii ni kwa mujibu wa astronomy ya Copernicus "Greece scientist"
mkuu naona umenipa mwanga maana nilikuwa najiuliza hapo juu wamesema kuna upande mmoja Wa Jupiter unachukua miaka 62 kuona jua vile vile na usiku
 
Mkuu kwa kumsaidia, hizo siku 9.9 ni kutokana na rotation yake kujizungusha kwenye muhimili wake (Sawa na dunia masaa 24 kujizungusha kwenye muhimili wake). Na hiyo miaka 60+ ya giza na ya mwanga ni kutokana na revolution yake kulizunguka jua(Sawa na dunia Mwaka 1 kulizunguka jua).
mkuu fafanua zaidi maana naona kuna kitu hakiko sawa.usiku na mchana unatokana na rotation ktk muhimili sasa kama kuona usiku inachukua miaka 60+ inamaanisha nn? so siku ya Jupiter haina mabadikiko ya usiku na mchana maana mmesema inatumia masaa 9 so hayo masaa ni mchana tu mpaka miaka 60+.nionavyo Mimi mwaka mmoja Wa Dunia ni sawa na miaka 60+ ktk Jupiter,maana kulizunguka jua ktk Jupiter ni miaka 60+ but dunia ni mwaka 1
 
Hakuna kilicho cha kweli hapo, Jupiter humaliza kuzulinguka jua kwa miaka 11.86 ya duniani. Hii ni sawa na siku 365x11.86 hivi. Hakuna upande wa Jupiter unakuwa gizani kwa miaka au siku 60 mfululizo. Japo urefu siku (day time) hutofautiana kidogo kati ya equator na poles ya Jupiter. Hii phenomenon ipo pia hapa duniani
 
Hivi ndivyo mfumo wa maji yalivyo ktk mwezi (moon) Europa mmoja kati ya miezi (moon) mingi ya sayari ya Jupiter ambako wanasayansi wanaamini kunauwezekano wa binadamu kuishi kutokana na mazingira yanayomuwesha,tatizo lililobaki ni kuufikia huo umbali kwa binadamu kwenda.
731656main_pia16826-full_full.jpg
 
mkuu fafanua zaidi maana naona kuna kitu hakiko sawa.usiku na mchana unatokana na rotation ktk muhimili sasa kama kuona usiku inachukua miaka 60+ inamaanisha nn? so siku ya Jupiter haina mabadikiko ya usiku na mchana maana mmesema inatumia masaa 9 so hayo masaa ni mchana tu mpaka miaka 60+.nionavyo Mimi mwaka mmoja Wa Dunia ni sawa na miaka 60+ ktk Jupiter,maana kulizunguka jua ktk Jupiter ni miaka 60+ but dunia ni mwaka 1
Usiwe na wasiwasi mkuu, hivi vyote nilivyoviandika sikuvitoa kichwani kwangu ila nimevisoma sehemu na kujiridhisha. Lakini kwa vingi ya nilivyoviandika nilivisoma siku nyingi sana kiasi hiki kipande "cha kuwa miaka 62 ya giza na miaka 62 ya mwanga" nimekisahau nilikisoma wapi .... na nikikipata nitakiweka hapa.(mara nyingi naongea na ushahidi) Lakini kwasasa kwa vile sijakipata basi elewa walivyorekebisha waungwa hapo juu. Ila nakupa nadharia moja kwa hapa duniani kuna baadhi ya inchi kuupata mwanga wa jua ni nadra sana na hii iko ya 3 kutoka jua na ni ndogo sana tena sana kwa Jupiter (kumbuka giza ni kukosa nuru na mchana ni kupata mwanga) Je, inashindikana vipi kwa dude kama jupiter ambalo dunia ni x 1,000+ na iko mbali zaidi ya dunia kutoka kwenye jua ????
 
Aaah.... contradiction ni nyingi mpaka kichwa kinauma
Zilete,tupo kwenye kujifunza na kuelimishana baadhi ya mambo yaliouzunguuka ulimwengu wetu kwa ujumla wake,kama kuna mahali upaelewi uliza au rekebisha na kama vipi jazia maana hivi vitu wamevifanyia uchunguzi na utafiti wazungu na wakaandika kwa lugha zao na wameziweka kila mtu kwenye website yake sasa si vibaya kuelimishana kwa jinsi ulivyolielewa wewe.
 
Si kweli, sayari zote za kwenye solar system zina-rotate kwenye muhimili wake (spinning), hata baadhi ya moons zina-rotate kwenye muhimili wake, ingawaje moon wetu (mwezi wa dunia) hau-rotate ndio maana siku zote tunaona upande mmoja tu wa mwezi. Hata hivyo kuna sayari kwenye solar system yetu zina-rotate anti-clockwise mfano Neptune

Si kweli kivipi mkuu?

Astronomy ya form three Physics,inatuambia kuwa:-
"in the solar system only planet Earth has got two types of movement, rotation and revolution."

Hii ni copy and paste toka kwa Copernicus.

Njoo tena mkuu
 
Usiwe na wasiwasi mkuu, hivi vyote nilivyoviandika sikuvitoa kichwani kwangu ila nimevisoma sehemu na kujiridhisha. Lakini kwa vingi ya nilivyoviandika nilivisoma siku nyingi sana kiasi hiki kipande "cha kuwa miaka 62 ya giza na miaka 62 ya mwanga" nimekisahau nilikisoma wapi .... na nikikipata nitakiweka hapa.(mara nyingi naongea na ushahidi) Lakini kwasasa kwa vile sijakipata basi elewa walivyorekebisha waungwa hapo juu. Ila nakupa nadharia moja kwa hapa duniani kuna baadhi ya inchi kuupata mwanga wa jua ni nadra sana na hii iko ya 3 kutoka jua na ni ndogo sana tena sana kwa Jupiter (kumbuka giza ni kukosa nuru na mchana ni kupata mwanga) Je, inashindikana vipi kwa dude kama jupiter ambalo dunia ni x 1,000+ na iko mbali zaidi ya dunia kutoka kwenye jua ????

Kwa mtazamo huu huenda upo sahihi, sijui Jupiter ipo tilted kwa kiasi gani. Dunia ipo tilted kwa nyuzi 23 kwenye muhimili wake, hii huifanya poles kuwa na giza mfululizo miezi sita na mchana mfululizo wa miezi kadhaa. Lakini ni sehemu ndogo sana ya poles. Kwenye hemisphere za dunia kuna utofauti wa urefu wa usiku na mchana, ila ni tofauti ya masaa machache tu. Wenye uelewa watupe msaada kuhusu Jupiter please.
 
Si kweli kivipi mkuu?

Astronomy ya form three Physics,inatuambia kuwa:-
"in the solar system only planet Earth has got two types of movement, rotation and revolution."

Hii ni copy and paste toka kwa Copernicus.

Njoo tena mkuu

Solar system ipi mkuu? Hii ya kwetu sayari zote zina both, rotation and revolution. Mbona ipo wazi tangu primary school?
 
Solar system yetu hii hii ya "milky way"

Ebu kasome upya Geog hata ya std 5, utaona kila kitu kipo wazi.

Then kasome astronomy ya physics in deep utauona ukweli upo wapi.
 
Milky way sio solar system, ni sehemu ya galaxy lenye solar systems kibao. Kwenye milky way kuna mamillion ya sayari (planets).
 
Ni kweli,lkn rejea kwenye issue kuu ya planets to rotate.
 
Back
Top Bottom