Ifahamu sayari ya Jupiter

Ifahamu sayari ya Jupiter

Njaa said:
Asante mkuu, ila ngumu kumeza..., mimi najua kuwa
Unajua au unaamini?
galaxy ni moja tu ambalo ukubwa wake ni infinity,
Kuna trillions za galaxies,yet unasema kuna galaxy moja?

Pia 'spacetime' ina kikomo,kwa kigezo kipi unasema 'hio galaxy ni infinity'


Rejea Olber's paradox,kama nafasi na mda vingekuwa havina ukomo,kusingekua na usiku

wanasayansi wamegawa sub-galaxies hasa kwenye hii observable galaxy. so huwa napenda kuamini kuwa hizi galaxy ndogo ndogo ni sehemu ya galaxy kubwa ambalo wewe Albert Einstein ulisema ni infinity and still expanding at speed faster than that of light (hahahahah)
'Subgalaxy' ni nn? na unajua nini kuhusu super clusters?

Ila kama 'unaamini' kuna galaxy moja upo sahihi
 
Mkuu nafikiri "universe" ndio moja tu ambapo ndani yake kuna magalaxy kibao likiwamo hili la kwetu milk way,andromeda na mengineyo...

sure, thanks....., nilichanganya madawa. Anga za wenyewe hizi...., naona kitwanga ilikolea kichwani
 
Unajua au unaamini?

Kuna trillions za galaxies,yet unasema kuna galaxy moja?

Pia 'spacetime' ina kikomo,kwa kigezo kipi unasema 'hio galaxy ni infinity'


Rejea Olber's paradox,kama nafasi na mda vingekuwa havina ukomo,kusingekua na usiku


'Subgalaxy' ni nn? na unajua nini kuhusu super clusters?

Ila kama 'unaamini' kuna galaxy moja upo sahihi

Hapana, I was wrong..., thanks kwa shule
 
Si kweli kivipi mkuu?

Astronomy ya form three Physics,inatuambia kuwa:-
"in the solar system only planet Earth has got two types of movement, rotation and revolution."

Hii ni copy and paste toka kwa Copernicus.

Njoo tena mkuu
Elimu yetu ni pyramid in nature kwa urefu tu lakini technically vice versa academically nadhani utakua umenielewa mkuu sio pkanet earth pekee ndio ina rotation kuna zingine pia zinatengeneza siku
 
Zilete,tupo kwenye kujifunza na kuelimishana baadhi ya mambo yaliouzunguuka ulimwengu wetu kwa ujumla wake,kama kuna mahali upaelewi uliza au rekebisha na kama vipi jazia maana hivi vitu wamevifanyia uchunguzi na utafiti wazungu na wakaandika kwa lugha zao na wameziweka kila mtu kwenye website yake sasa si vibaya kuelimishana kwa jinsi ulivyolielewa wewe.
Labda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
 
Labda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
Inapojizungusha na kulizunguka jua vyote ni kasi mkuu sema umbali ndio unahusika mkuu
 
Kwahiyo mwezi (moon) unaweza kuwa na maji na bado ukaitwa mwezi?? Jee nini kinacho Fanya kitu kuitwa mwezi??
Kwa ninavyojua mimi sababu ziko nyingi,ila mojawapo kubwa ninayoijua mimi ni matendo yao (moons) ya KUZUNGUUKA SAYARI, mfano mwezi wetu unaizunguuka dunia ambayo ni sayari kati ya sayari 8 zilizo ktk mfumo wetu wa jua (star). Na ndio sababu ya wanaanga kwenda mwezini (moon) kuenda kuchunguza kati ya mambo mengi moja wapo ni hili la kutaka kujua je kuna uwezekano wa kupatikana uhai kwenye mwezi (moon) na kati ya vitu walivyokwenda kuvichunguza ni kama kuna Maji,hali ya hewa na vyote vinavyowezesha uhai wa mwanadamu,lakini vilikosekana na ndio maana mwezi wetu sio kitu kwa wanasayansi ambao wanatafuta sehemu nyingine ya mwanadamu kuweza kwenda kuishi. Leo hii mwezi(moon) wetu ungekuwa unamazingira wezeshi nadhani binadamu wangeshajaa huko.
 
Back
Top Bottom