Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Basi vizuri angetumia kizungu aelewekeJamaa aliuza miezi sasa sijui which is which
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi vizuri angetumia kizungu aelewekeJamaa aliuza miezi sasa sijui which is which
Lugha ya malikia hata mkuru haijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi vizuri angetumia kizungu aeleweke
Unajua au unaamini?Njaa said:Asante mkuu, ila ngumu kumeza..., mimi najua kuwa
Kuna trillions za galaxies,yet unasema kuna galaxy moja?galaxy ni moja tu ambalo ukubwa wake ni infinity,
'Subgalaxy' ni nn? na unajua nini kuhusu super clusters?wanasayansi wamegawa sub-galaxies hasa kwenye hii observable galaxy. so huwa napenda kuamini kuwa hizi galaxy ndogo ndogo ni sehemu ya galaxy kubwa ambalo wewe Albert Einstein ulisema ni infinity and still expanding at speed faster than that of light (hahahahah)
Hahaha kiswahili hakina maneno mengi mkuu ila hata kuweka months or moon dahLugha ya malikia hata mkuru haijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nafikiri "universe" ndio moja tu ambapo ndani yake kuna magalaxy kibao likiwamo hili la kwetu milk way,andromeda na mengineyo...
Unajua au unaamini?
Kuna trillions za galaxies,yet unasema kuna galaxy moja?
Pia 'spacetime' ina kikomo,kwa kigezo kipi unasema 'hio galaxy ni infinity'
Rejea Olber's paradox,kama nafasi na mda vingekuwa havina ukomo,kusingekua na usiku
'Subgalaxy' ni nn? na unajua nini kuhusu super clusters?
Ila kama 'unaamini' kuna galaxy moja upo sahihi
Ina miezi 12 anganiIna mwezi mmoja
No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.
mmojaKumbe kila sayari ina mwezi wake? Hivi dunia ina miezi mingapi?
Nadhani hakuna joto kama la hapa Duniani huko, ngoja tuwasikilize wataalamuKuna joto Kali kiasi gani kwenye sayari hii?
ISIS kwa identity yako hii kwa nchi nyingine ungekuwa shidanigood job! ubarikiwe ndugu yangu!
Ina mwezi mmoja
Milky way sio sehemu ya Galaxy,ni Galaxy
Elimu yetu ni pyramid in nature kwa urefu tu lakini technically vice versa academically nadhani utakua umenielewa mkuu sio pkanet earth pekee ndio ina rotation kuna zingine pia zinatengeneza sikuSi kweli kivipi mkuu?
Astronomy ya form three Physics,inatuambia kuwa:-
"in the solar system only planet Earth has got two types of movement, rotation and revolution."
Hii ni copy and paste toka kwa Copernicus.
Njoo tena mkuu
Labda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiterZilete,tupo kwenye kujifunza na kuelimishana baadhi ya mambo yaliouzunguuka ulimwengu wetu kwa ujumla wake,kama kuna mahali upaelewi uliza au rekebisha na kama vipi jazia maana hivi vitu wamevifanyia uchunguzi na utafiti wazungu na wakaandika kwa lugha zao na wameziweka kila mtu kwenye website yake sasa si vibaya kuelimishana kwa jinsi ulivyolielewa wewe.
Inapojizungusha na kulizunguka jua vyote ni kasi mkuu sema umbali ndio unahusika mkuuLabda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
Kwa ninavyojua mimi sababu ziko nyingi,ila mojawapo kubwa ninayoijua mimi ni matendo yao (moons) ya KUZUNGUUKA SAYARI, mfano mwezi wetu unaizunguuka dunia ambayo ni sayari kati ya sayari 8 zilizo ktk mfumo wetu wa jua (star). Na ndio sababu ya wanaanga kwenda mwezini (moon) kuenda kuchunguza kati ya mambo mengi moja wapo ni hili la kutaka kujua je kuna uwezekano wa kupatikana uhai kwenye mwezi (moon) na kati ya vitu walivyokwenda kuvichunguza ni kama kuna Maji,hali ya hewa na vyote vinavyowezesha uhai wa mwanadamu,lakini vilikosekana na ndio maana mwezi wetu sio kitu kwa wanasayansi ambao wanatafuta sehemu nyingine ya mwanadamu kuweza kwenda kuishi. Leo hii mwezi(moon) wetu ungekuwa unamazingira wezeshi nadhani binadamu wangeshajaa huko.Kwahiyo mwezi (moon) unaweza kuwa na maji na bado ukaitwa mwezi?? Jee nini kinacho Fanya kitu kuitwa mwezi??