Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Nina swali na ushauri
Swali: Kwanini namba za msailiwa wa kuandika (written interview)anapewa namba mapema?
Wasiwasi wangu upo hapa kama msailiwa ana mtu utumishi asiye mwaminifu anaweza Fanya namna Ili mtu wake apite au afaulu usaili wa kuandika .
Ushauri:Namba za wasailiwa hasa wa written wapewe namba siku ya usaili tena waokote namba randomly kama wanavyochezesha draw za ratiba za Mpira wa miguu.
 
Samahani wakuu nashidwa kuswitch account kwenda ya Ajira so maswali yenu yote nitayajibu badae nikifanikiwa nawasilana na uongozi wa jf kwanza(jokes)🀣🀣🀣
 
Yaaan uokoteleze namba then uifanyie mtihani si mie nikiona namba iliyofaulu sana kesho kwenye oral nakuja nasema ni mie ndo nilifanyia hiyo mtihani utanikatalia???? Wakati kwenye system haipo??? We jamaaa waza Tena kitu kingine
 
Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo.

Kazi hizi: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Quality Assurance and Control.

Hizo kazi watu wa kozi zote za petroleum au mafuta na gesi wanaweza kuzifanya.

Ondoeni kigezo cha engineering registration bord (ERB) kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum). Wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM kinachoratibiwa na EWURA na PURA. EWURA na PURA pekee ndio wenye uwezo wa kudhibiti kozi za mafuta na gesi (petroleum).
 
Oooh Usailiwa TMDA Dom Leo hakika ninepita, nasubur Oral tu. Mungu anipe nafasi hii hakika.
 
1.Kwa nini nafasi moja mnaita watu 3000+?lengo huwa ni nini?
2.huwa mnatumia mbinu gani kuweza kusahihisha karatasi za watu 5000+ ndani ya siku moja na kutoa majibu siku hiyo hiyo?huwa kuna umakini kweli hapo?
Hao 3000 wote wana sifa mkuu ndo maana wanaitwa na kusahisha nadhani ni simple tu ukiwa na panel ya watu 10 mbona wanamalizq mapema kaka
 
Bora hii ya saa hivi kipindi cha nyuma ilikua shida sana kupata namba Duce pale Utumishi wanabandika Asubuhi mnapigania namba kama wehu na wengine wanachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…