Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Yaaan uokoteleze namba then uifanyie mtihani si mie nikiona namba iliyofaulu sana kesho kwenye oral nakuja nasema ni mie ndo nilifanyia hiyo mtihani utanikatalia???? Wakati kwenye system haipo??? We jamaaa waza Tena kitu kingine
Wewe msailiwa utaona wapi namba iliyofaulu zaidi kama wewe si mfanyakazi wa utumishi au una mtu utumishi?
 
Kumekuwa na malalamiko makubwa na ambayo yana msingi kimaendeleo kwa Tanzania.
Swali ni Lini Wakurugenzi wa majiji/ Halmashauri na wakuu wa idara na vi tengo ndani ya Halmashauri nchini wataanza kuajiriwa kupitia Sekretariet ya ajira?
 
Mmekuja huku sio mujibu tuhuma zinazowakabili zinaibuliwa na wadau
 
Mitihani kama hii inatungwa na nani, inasarifishwa na ulinzi wa aina gani usiibiwe,inahifadhiwa wapi kabla ya kufanyika, inahifadhiwa na nani ambaye mtoto wake au ndugu yake haitaji kazi, inashihishwa na Akina Nani.
( Refer ulinzi wa mitihani ya NECTA )
Ili kujibu maswali Haya pitia marks hizi utagundua kitu .
 

Attachments

Nakumbuka mwaka 2012 katika nafasi 3 mlizotangaza na waombaji 627 waliofanya usaili akiwemo mtoto wa PM mstaafu, mimi nisiyemjua yeyote serikalini nilipata kazi kwenye shirika kubwa na mtoto wa ex PM alikosa.
 
Mitihani kama hii inatungwa na nani, inasarifishwa na ulinzi wa aina gani usiibiwe, inashihishwa na Akina Nani
Ili kujibu maswali Haya pitia marks hizi utagundua kitu .
Huu mtihani ulikuwa mwepesi. Ningepata kuhudhuria mitihani ya petroleum. Haki ya Mungu ningebamiza 100. Mitihani hiyo inatolewa maswali ya professional.
 
Ni kweli tujue msimu mpya wa kulipa Kodi za nyumba unaingia tusije kulipa baada ya siku mbili placement inatoka na umo umepelekwa mkoa mwingine,tusaidieni kwa hili jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…