Mkuu mie nipo na stress hapa Sema mwenye nyumba kasafir akirudi ndo atanza kuomba Kodi Sasa dah hata sijui itakuaje😢Ni kweli tujue msimu mpya wa kulipa Kodi za nyumba unaingia tusije kulipa baada ya siku mbili placement inatoka na umo umepelekwa mkoa mwingine,tusaidieni kwa hili jobless
Hahahahaha 🤣🤣🤣Siredi zingine mko na magari na majumba na Kazi ya pesa ndefu
Mpuuzi Kawakusanya wote, halafu kapotea
😂😂😂😂aseeh ifutwe hii afu ukute kijana wa hovyo meck umetukusanya hapa mamaeeeHahahahaha 🤣🤣🤣
Mie nimeshawaambia nimeshidwa kuswitch account kwenda ya Ajira so jiongezeni🤣🤣😂😂😂😂aseeh ifutwe hii afu ukute kijana wa hovyo meck umetukusanya hapa mamaeee
😂😂😂aseeh nimeshashitukaMie nimeshawaambia nimeshidwa kuswitch account kwenda ya Ajira so jiongezeni🤣🤣
Kijana vuta subira tu hpa kwenye insta wanajib comment moja sembuse huku piaHapo ndo wanazingua kwahiyo wamekuja kutuchora tu
duuuhBora hii ya saa hivi kipindi cha nyuma ilikua shida sana kupata namba Duce pale Utumishi wanabandika Asubuhi mnapigania namba kama wehu na wengine wanachana
hili swala linaniumiza kichwa sanaNi kweli tujue msimu mpya wa kulipa Kodi za nyumba unaingia tusije kulipa baada ya siku mbili placement inatoka na umo umepelekwa mkoa mwingine,tusaidieni kwa hili jobless
Samahani wakuu nashidwa kuswitch account kwenda ya Ajira so maswali yenu yote nitayajibu badae nikifanikiwa nawasilana na uongozi wa jf kwanza(jokes)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa tutapata changamoto ya kutojibiwa kama ilivyo changamoto ya ucheleweshaji wa Placement
Jamaa wako vizuri mdogo wangu alipata kazi TMDA bila zengwe hawa ni haki bin hakOfisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010.
Majukumu ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni;
- Kutafuta wataalamu wenye ujuzi maalum na kuandaa mfumo wa kuhifadhi taarifa (kanzidata) za wataalamu hao ili kurahisisha utaratibu wa kuwaajiri pindi wanapohitajika;
- Kuandaa orodha ya wahitimu wa Vyuo Vikuu na wataalamu wenye weledi kwa madhumuni ya kurahisisha rejea na ujazaji wa nafasi wazi za ajira katika Utumishi wa Umma;
- Kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma;
- Kuhusisha wataalamu maalum kwa ajili ya kufanya usaili kulingana na mahitaji;
- Kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na ajira; na
- Kufanya kazi nyingine yoyote inayoendana na majukumu yake kadri itakavyoelekezwa na Waziri.
Hoja yangu ni integrity ya watoa namba basi watafute mbadala mwingine.😂😂😂😂Hebu ifikirie vizuri mzee Yani tukaokote namba pale aditorium kweli??
Alifanya usahili lini?Jamaa wako vizuri mdogo wangu alipata kazi TMDA bila zengwe hawa ni haki bin hak