Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Kwa mujibu wa Allah ata binadamu awe mwizi , mbakaji , mtenda zambi za kila aina , yeye atakuingiza kwenye bikra 72 na ata uwe mwema na unamfuata yeye atakupeleka motoni na amesema hata jali
 
Kumbe yule jamaa anajiita Manfongo ni noma sana Ndo maana alisema anakulaga mashemegi kwa kuwa ana sumu kali sana.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Usihukumu dini/imani ya watu wengine kwa kutumia Imani yako.

Kila Imani/dini ina misingi yake.
 
Hujapata tafsiri sahihi! Aya inamaanisha kwamba watu wamekuwa wajeuri na wakorofi na wamejifanya wenyewe deaf (sum'un), dumb (bukm'un), blind (um'yun) na kamwe hawataamini na sio AllahSWT anayefanya wawe deaf, dumb, and blind ili wasiamini!
Miracle of Interpretation ( In David Wood's Voice )
 
Pengo ninani kwenye mambo ya ulimwengu wa roho??
Kiongozi mkuu wa kanisa Kuu la wakristo wa Tanzania .
Wewe km ni msabato au pentecostal lzm uwe chini ya amri ya Pengo utake ustake.

Ndio muwakilishi wa PAPA Tanzania
Akisema kaa chini huna ujanja.

Akiamua kukubatiza kavu kavu huna namna
 
Kiongozi mkuu wa kanisa Kuu la wakristo wa Tanzania .
Wewe km ni msabato au pentecostal lzm uwe chini ya amri ya Pengo utake ustake.

Ndio muwakilishi wa PAPA Tanzania
Akisema kaa chini huna ujanja.

Akiamua kukubatiza kavu kavu huna namna
Umeongea kama unatumia matako kuwaza kenge maji wewe umbwa
 
Umeongea kama unatumia matako kuwaza kenge maji wewe umbwa
Teh teh teh.
Watoto wa mzazi mmoja utamjua tu. Hana hoja lkn matusi kabati zima.
We sikulaumu manake malezi ya baba hujapata.
Muulize mama Mwamaleki babako ni nani! Akikupa jibu njoo nikupe ushauri wa bure bi mkubwa.
Ahsanta
 
Teh teh teh.
Watoto wa mzazi mmoja utamjua tu. Hana hoja lkn matusi kabati zima.
We sikulaumu manake malezi ya baba hujapata.
Muulize mama Mwamaleki babako ni nani! Akikupa jibu njoo nikupe ushauri wa bure bi mkubwa.
Ahsanta
Poa poa mke wangu
 
Nasikitika kusema umeandika uongo na watu wengi kwa kutopenda kuchambua kwa umakini umewapotosha.

Sifongo = Sponge

Siki - Vinegar

Na vinegar inatengenezwa kutoka katika matunda kama zabibu,apple n.k

Sivyo kama usemavyo eti sumu sijui ya mamba ama mifupa ya nyoka.
 
Kumbe Mungu akila sumu anakufa?
 
 
 
Watu bado wajinga sana hasa huku Afrika wanalishwa matango pori sana,
nimeshangaa mno hakuna aliyeshtuka mpaka naona comment yako nilitaka nijibu hivi hivi
asante kwa kuniwahi!
 
1. Kwanza kuna kitu umechanganya , Yesu alipewa wine mara mbili!!!Wine ya kwanza ilichangwa na sumu (gall) hii alionja na kukataa kunywa , lengo la hii wine yenye Sumu ilikuwa kumfanya afe bila kupata maumivu makali, lakini aligoma maana alitaka alipe dhambi kwa maumivu makali, utasoma mathew 27: 33, hii wine anaonekana kupewa kabla ya kupigiliwa msalabani

2. Pili, baadae alipewa wine ya pili (sour wine ) , wine vinegar ...na aliweza kuionja inawezekana akawa alikunywa lakini haikusemwa hivyo, Hapa alisema kwamba ana kiu (na alisha ona kwamba Yametimia, Ndipo alipo anza kuongea msalabani, Eloi Eloi lama saba ktani) WINE ya pILI haikuwa na sumu ilikuwa na lengo la kumfanye achelewe kufa yaani aendelee kuteseka SOMA MATHEW 27:48 , katika MAADA YAKO umeongelea wine ya Pili ambaYO haikuwa na sumu ....ila wine Yenye sumu hujasema kwamba Yesu aliikataa kunywa unapingana na biblia mathew 27:33 hakikisha kwa kusoma kwanza ili uone ushuhudie kwamba upo kinyume na biblia

ASANTE KWA MAADA
 
Nukuu kutoka katika injili ya Yohana inasema.

YOHANA 19:

28 “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu.

29 Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani.

30 Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake”
ulichonifurahisha,kwenye coment yako,neno mungu,herufi m,umeweka herufi kubwa,kwetu ina maana sana ili kumtofautisha na wengine,yeye tu ndo huanza na herufi kubwa.waliobakia wote ni ndogo..
Sifongo ni kiswahili cha neno la kiingereza “sponge” Sifongo iliyotumiwa na maaskari wa Kirumi ilikuwa ni muendelezo wa dhihaka kwake katika ulimwengu wa kimwili. Ukumbuke pia ndiyo hawa hawa hapo awali walimvisha taji la miba kichwani mwake, na mavazi ya dhihaka ya kifalme. Tafsiri iliyopo nyuma ya jambo hili katika ulimwengu wa kiroho lilikuwa ni kubwa mno.

Siki ni kiungo ambacho kinakuwa katika kimiminika, kinachotengenezwa kwa kuchachushwa kama vile zinavyotengenezwa pombe
Na kwa asili kina uchungu mwingi mno na ukakasi tele. Hakifai kabisa kuwekwa katika kinywa cha mwanadamu kutokana na uchungu wake. Wale maaskari walifanya vile ili mwili wa Bwana Yesu ukaukiwe maji na kuharakisha kupelekea kifo chake kwa sababu walimsikia akisema naona kiu.

Jambo hili zima katika ulimwengu wa kimwili na kiroho lilikuwa na maana kubwa mno ili mwili wa Kristo utumike kama dhabihu kuu na takatifu kwa ajili ya kuzishinda nguvu za mauti na kuzimu, kufanyika kwa Agano Jipya kati ya Mungu na wanadamu, na pia kufanya Kristo kuwa ndiye Mfalme na Kuhani Mkuu wa milele, yaani ndiye Mungu na MwanaKondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…