Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

In short hakuna ulichoelezea kuhusu sifongo na siki, na mtu akisoma hawezi kujua ni kitu gani. Nadhani ungejazia content zaidi bandiko lako ili lieleweke hata kwa mtu wa kawaida!
 
In short hakuna ulichoelezea kuhusu sifongo na siki, na mtu akisoma hawezi kujua ni kitu gani. Nadhani ungejazia content zaidi bandiko lako ili lieleweke hata kwa mtu wa kawaida!
sawa kiongozi ndio maana mwishoni nimesema. Ni mchanyiko wa sumu kali
 
Hizi ni sawa na stori za kina Idi Amini kula nyama za watu
 
B. Netanyau aulizwe maaana aaah
Hapa Netanyahu atakua anaonewa ( Hope umeweka jina hilo uki present Myahudi/Wayahudi) cause kina Netanyahu walitaka auawe Yesu tena kwa kusurubiwa cause ndio ilikua style yao ya kuua watu wanao wadhania kua ni waovu but hayo mambo ya SIKI na ile misumari na style nyingine za uuaji walifanya wakoloni wao/watawala wao yaani Warumi/Waitalia so tuwaulize kina Beleskoni wa AC Milan ndio wanajua Zaidi hayo mambo ya SIKI
 
Upotoshajii uzandikiiii

Huyo yesu wenu hajawahi kuexist popote pale zaidi ya vichwani mwenu..na vitabunii
 
Hawa jamaa hawana dogo mtu umemtundika msalabani ana ponaje wakaona haitoshi wakampiga sifongo halafu kuna machizi waligawana kanzu lake..Halafu kuna wajinga wanasema ibarikiwe Israel
Kuna tofauti kati ya Wayahudi na Israel kaka mkuu
 
Km sifongo siki ni sumu na wao walikuwa na lengo la kutaka afe haraka kwanini hawakupaka kwenye ule mkuki waliomchoma nayo ubavuni? Sumu kupitia mdomoni huchelewa kidogo kuua kuliko ile iliyowahishwa kwenye damu. Na je km lengo ni kuua fasta si pale kuna mkuki kwann wasimchome moyoni fasta hamalizi hata sekunde?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…