Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kwanini walimuua yesu na kwanini mna waombea wabalikiwe badala ya kuomba nchi yenu ibalikiweWaisraeli ni kabila 12 ya wana wa yakobo. Mojawapo ni kabila la wayuda, ambalo lilibaki na fimbo ya daudi
Alafu damu yake ndio imesafisha dhambizetu...
Kiranga muda mwingine simlaumu.
Kabila la Yuda Walibaki na fimbo ya Daudi?Waisraeli ni kabila 12 ya wana wa yakobo. Mojawapo ni kabila la wayuda, ambalo lilibaki na fimbo ya daudi
Mungu aliuliwa na NYONGO YA mamba afu akapigiliwa Misumari ya kenchi then akabanikwa juani kwa mbao zilizo kaa kama jumlisha then wakamchoma na spear of destinyWanasema.
Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote.
Anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kufanyika popote.
Hakuuumba ulimwengu huo.
Kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika.
Hata katika ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, aliweza kuumba watu ambao wanaweza kuishinda dhambi mara zote.
Hajaumba watu hao.
Kaumba watu ambao wanaweza kushindwa na dhambi.
Halafu watu hao wakishindwa na dhambi, kwa sababu Mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika, na watu wanashindwa na dhambi, Mungu huyo atawahukumu watu hao kwa kuwachoma katika moto wa milele.
Ni kama Baba anayeweza kumsomesha mtoto wake shule (Mungu anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani) akaamua kumkataza mtoto wake asisome shule (Mungu huyo akaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika) halafu mtoto akishindwa kujua kusoma na kuandika kwa sababu (mtu akifanya dhambi) baba amuadhibu mtoto vikali (Mungu awaadhibu watu kwa moto wa milele).
The premise and narrative is illogical.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kumkataza mtoto wake kwenda shule, halafu baba huyo huyo amuadhibu mtoto huyo, kwa kuwa hajui kusoma.
Huu ndio ujinga ninaokataa katika dini.
Sihitaji Quran ya Google Store.Mungu aliuliwa na NYONGO YA mamba afu akapigiliwa Misumari ya kenchi then akabanikwa juani kwa mbao zilizo kaa kama jumlisha then wakamchoma na spear of destiny
Zile damu zilizotoka zkaja kusafisha dhambizetu..
MUNGU ALIEUMBA ULIMWENGU HAYUPO HIVI AISEE.
mnamtafsiri vibaya na ndo mana Kiranga anasema hayo aliyoyasema.
Kiranga ingia Google playstore andika quran swahili then download
Afu tafuta (ndani) yaqurani suratul naaba..kwa akili ya kujaji vitu ulionayo utaondoka na kitu.
Mkuu wacha kutuingiza chaka. Yesu alipewa kitu kinachoitwa vinegar ilichanganywa na gall.Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....
Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana
Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana
Muwe na mchana Mwema
Duh hivi jamaa yesu aliwakoseaga nini mbona walikuwa na hasira naye sana dah inauma sana
Yaan watu wamekupiga misumari wakaona haitosh wakampiga na sifongo tena
Sijui nianzie wapi ila jua kua kuna ambao wakotayari kwenda motoni na ndo hao..afu hawataki kumrudia mungu wao ni viburi ila mungu ni kiburi zaidi yao..Sihitaji Quran ya Google Store.
Kama umeniita hapa, ukifikiri nitapinga Wakristo tu, umekosea sana na hunielewi.
Nina "The Meaning of The Holy Quran" ambacho ni Quran nzima, Kiarabu na Kiingereza, na maelezo ya tafsiri yaliyohaririwa na Abdullah Yusuf Ali.
Kwa hivyo kunifikiria sijaijua Quran na nianze ku download Google Store leo, unaniweka chini sana.
Quran nao ina ujinga ule ule tu.
Katika aya za mwanzoni tu unaambiwa kwamba.
1. Kuna watu wabishi sana kuhusu dini, waumini msibishane nao.
2. Msibishane nao kwa kuwa, Allah mwenyewe amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuamini, ameziba macho yao na masikio yao.
3. Watu hawa, kwa kuwa wamezibwa mioyo, macho na masikio wasimjue Allah, hawatamjua Allah.
4. Kisha, Allah atawahukumu vikali sana hawa watu, kwa sababu hawajamjua, wakati hawajamjua kwa sababu yeye mwenyewe kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue.
Hivi mtu na akili zake akisoma hizi habari za Allah anakubali kabisa huyo Allah yupo, na ni Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Nina "The Meaning of The Holy Quran" ambacho ni Quran nzima, Kiarabu na Kiingereza, na maelezo ya tafsiri yaliyohaririwa
Kwa hivyo kunifikiria sijaijua Quran na nianze ku download Google Store leo, unaniweka chini sana.
Katika aya za mwanzoni tu unaambiwa kwamba.
Kwa hiyo ndio mna waabuduUle uzao wa Ibrahim
Hujapata tafsiri sahihi! Aya inamaanisha kwamba watu wamekuwa wajeuri na wakorofi na wamejifanya wenyewe deaf (sum'un), dumb (bukm'un), blind (um'yun) na kamwe hawataamini na sio AllahSWT anayefanya wawe deaf, dumb, and blind ili wasiamini!Sihitaji Quran ya Google Store.
Katika aya za mwanzoni tu unaambiwa kwamba.
1. Kuna watu wabishi sana kuhusu dini, waumini msibishane nao.
2. Msibishane nao kwa kuwa, Allah mwenyewe amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuamini, ameziba macho yao na masikio yao.
3. Watu hawa, kwa kuwa wamezibwa mioyo, macho na masikio wasimjue Allah, hawatamjua Allah.
4. Kisha, Allah atawahukumu vikali sana hawa watu, kwa sababu hawajamjua, wakati hawajamjua kwa sababu yeye mwenyewe kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue.
Hivi mtu na akili zake akisoma hizi habari za Allah anakubali kabisa huyo Allah yupo, na ni Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Unaweza kuweka aya yenyewe hapa tuisome tuone kama Allah hakusema kwamba atawafanya mioyo yao iwe migumu na kuwaziba masikio na macho yao?Hujapata tafsiri sahihi! Aya inamaanisha kwamba watu wamekuwa wajeuri na wakorofi na wamejifanya wenyewe deaf (sum'un), dumb (bukm'un), blind (um'yun) na kamwe hawataamini na sio AllahSWT anayefanya wawe deaf, dumb, and blind ili wasiamini!
Unaweza kuweka aya yenyewe hapa tuisome tuone kama Allah hakusema kwamba atawafanya mioyo yao iwe migumu na kuwaziba masikio na macho yao?
Kuna siku utakuja kumkiri Mungu Tena hapa. hapa jukwaan, Roho wa Mungu atasema naweWanasema.
Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote.
Anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kufanyika popote.
Hakuuumba ulimwengu huo.
Kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika.
Hata katika ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, aliweza kuumba watu ambao wanaweza kuishinda dhambi mara zote.
Hajaumba watu hao.
Kaumba watu ambao wanaweza kushindwa na dhambi.
Halafu watu hao wakishindwa na dhambi, kwa sababu Mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika, na watu wanashindwa na dhambi, Mungu huyo atawahukumu watu hao kwa kuwachoma katika moto wa milele.
Ni kama Baba anayeweza kumsomesha mtoto wake shule (Mungu anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani) akaamua kumkataza mtoto wake asisome shule (Mungu huyo akaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika) halafu mtoto akishindwa kujua kusoma na kuandika kwa sababu (mtu akifanya dhambi) baba amuadhibu mtoto vikali (Mungu awaadhibu watu kwa moto wa milele).
The premise and narrative is illogical.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kumkataza mtoto wake kwenda shule, halafu baba huyo huyo amuadhibu mtoto huyo, kwa kuwa hajui kusoma.
Huu ndio ujinga ninaokataa katika dini.
yaan unamziba masikio mtoto na pamba kwa lengo asikusikie, af unamwita asipokusikia unamchapa (wakati ulimziba masikio mwenyew kwa kusudi asikusikie)Sihitaji Quran ya Google Store.
Kama umeniita hapa, ukifikiri nitapinga Wakristo tu, umekosea sana na hunielewi.
Nina "The Meaning of The Holy Quran" ambacho ni Quran nzima, Kiarabu na Kiingereza, na maelezo ya tafsiri yaliyohaririwa na Abdullah Yusuf Ali.
Kwa hivyo kunifikiria sijaijua Quran na nianze ku download Google Store leo, unaniweka chini sana.
Quran nao ina ujinga ule ule tu.
Katika aya za mwanzoni tu unaambiwa kwamba.
1. Kuna watu wabishi sana kuhusu dini, waumini msibishane nao.
2. Msibishane nao kwa kuwa, Allah mwenyewe amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuamini, ameziba macho yao na masikio yao.
3. Watu hawa, kwa kuwa wamezibwa mioyo, macho na masikio wasimjue Allah, hawatamjua Allah.
4. Kisha, Allah atawahukumu vikali sana hawa watu, kwa sababu hawajamjua, wakati hawajamjua kwa sababu yeye mwenyewe kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue.
Hivi mtu na akili zake akisoma hizi habari za Allah anakubali kabisa huyo Allah yupo, na ni Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Siku gani? Unaweza kuitaja mwaka, mwezi na tarehe tuanzishe countdown kabisa?Kuna siku utakuja kumkiri Mungu Tena hapa. hapa jukwaan, Roho wa Mungu atasema nawe