Kinuri na upendo haviwezi kukaa pamoja, hizi ni sifa zinazoji contradict.
Huu uongo hata mtoto mdogo hawezi kuuongea. Kiburi ni sifa na upendo kadhalika. Hizi tabia zimeumbwa na mwanadamu anazo na Allah anayo sifa hii,bali kwa mwanadamu ni jambo baya kuwa na kiburi ila kwa Mola mlezi ni sifa anuai anayo pambika nayo.
Wewe huwezi kuniambia kwanini kiburi ni sifa mbaya kwa mwanadamu,lakini mimi naweza kukwambia kwanini ni sifa mbaya kwa mwanadamu.
Watu wana viburi na watu hao hao wana upendo kwa vitu wavioendavyo.
Giza tu ndio halikai pamoja na Nuru. Unatakiwa uwe unasoma huku unatafakari.
Mungu mwenye sifa ya upendo wote hawezi kuwa na kiburi.
Unajua kiburi cha Allah kama sifa yake anuai kipo wapi au unakataa sababu wewe ni mjinga ?
Hivi ukiambiwa Allah ana mikono,unafikiri mikono yake ni sawa na mikono yako ? Au mathalani,birika nalo lina mkono je mkonk wa birika ni sawa na mkono wako ? Sasa unatakiwa ufikirie kwa elimu.
Mungu wako ni wa kutungwa, na amefanywa kuwa egotistic.
kusema ni wa kutungwa tu,bila kuelezea alitungwa vipi na nani wa kwanza kumtunga na ilikuwa lini ? Wewe ni mzushi,muongo tena muovu na unaihujumu elimu na watu wake.
Kama wewe unasema kweli,tueleze tu ilikuwaje mpaka binadamu wakamtunga Mungu na ilikuwa lini ?
Kiburi ni weakness, si sifa ya uungu. Si sifa ya intelligence.
Kiburi ni udhaifu kwa nani ? Kiburi ni sifa ya udhaifu wa binadamu pekee lakin kwa Allah ni kamili,ndio maana anafanya mambo anayotaka yeye,kama alivyo waambia kama mnakataa yeye hayupo basi mzuie kifo na wala haulizwi kwa yale anayo yatenda bali wewe ndio utaulizwa na mimi nitaulizwa na wale wataulizwa.
Jibu lako linaonesha huyo Mungu katungwa na watu wanaooenda kiburi.
Usikimbie kivuli chako mwenyewe,usiseme tu linaonyesha bali unyesha lina onyesha wapi ?
Naomba uniambie nini maana ya "Uhalisia" ?
Huwa nawaambia sana na nitakariri tena na tena elimu ya maana ya maneno hamjui.
Nipo .......