Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

Upumbavu mkuu na mkubwa kuliko wote hapa duniani katika maisha haya ni pale mwanadamu alipo mruhusu shetani akamshawishi kuwa eti yeye mwanadamu anaweza kumpangia Mungu.

Wanasema.

Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote.

Anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kufanyika popote.

Hakuuumba ulimwengu huo.

Kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika.

Hata katika ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, aliweza kuumba watu ambao wanaweza kuishinda dhambi mara zote.

Hajaumba watu hao.

Kaumba watu ambao wanaweza kushindwa na dhambi.

Halafu watu hao wakishindwa na dhambi, kwa sababu Mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika, na watu wanashindwa na dhambi, Mungu huyo atawahukumu watu hao kwa kuwachoma katika moto wa milele.

Ni kama Baba anayeweza kumsomesha mtoto wake shule (Mungu anayeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani) akaamua kumkataza mtoto wake asisome shule (Mungu huyo akaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kufanyika) halafu mtoto akishindwa kujua kusoma na kuandika kwa sababu (mtu akifanya dhambi) baba amuadhibu mtoto vikali (Mungu awaadhibu watu kwa moto wa milele).

The premise and narrative is illogical.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Baba mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kumkataza mtoto wake kwenda shule, halafu baba huyo huyo amuadhibu mtoto huyo, kwa kuwa hajui kusoma.

Huu ndio ujinga ninaokataa katika dini.
 
Upumbavu mkuu na mkubwa kuliko wote haoa duniani katija maisha haya ni pale mwanadamu alipo mruhusu shetani kumshawishi kuwa eti yeye mwanadamu anaweza kumpangia Mungu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Mungu haja niomba nimsaidie hili na uko ushahidi wa kutosha kutoka kwa Mungu mwenyewe. Ni kuulize kwa nini unakubali ndugu yako afe au wewe mwenyewe siku ya ahadi yako ikifika ufe? si ukatae kufa/kifo.
 
1.Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Point ya kifo hapa ni "logical non sequitur". Mimi nakwambia Baba yako si Kipepe, Kipepe hayupo, wewe unaniambia kama Kipepe hayupo, kwa nini tunakufa? Totally unrelated things.

3. Watu kufa ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo, si ushahidi kwamba yupo.
 
Hao watu unaowazungumzia hapa walitoka wapi?

Kiranga hiyo no.3 ni kusaidie Mungu muweza wa yote si kwa maana ya uweza wa yote wa kiuholela kama wewe utakavyo. Uweza wa yote wa Mungu sio open ended ni Mungu muweza wa yote sawasawa na mapenzi yake. Jiongeze yapi ni mapenzi ya Mungu? Na yapi niya Kiranga?
 
Kwa hiyo uwezo wa Mungu una mipaka?

Kwa hiyo Mungu anapenda kuona watoto wachanga wanakufa kwa Kwashiorkor Africa?
 
Ndio una mipaka kwa mapenzi/utashi yake/wake Mungu, hapangiwi na Kiranga. Mipaka anajiwekea yeye mwenyewe kwa uweza na utashi na mapenzi yake.

Mwanadamu asingekosa utii pale Eden unafikiria leo kungalikuwa na kwashakoo? Hii ni kama huamini mbuyu ndio utanielewa.

Faru Rajabu anatisha, si wa mchezo mchezo, anafyatulisha.
 
Mungu mwenye mipaka hana uwezo wote, uwezo wake unaishia kwenye mipaka.

Unaelewa hilo?
 
Naam mipaka ya uweza wa sawa sawa na mapenzi yake yanayo fanya matendo yasiyo chunguzika kwa akili hizi za mwanadamu zika ya elewa.
 
Kama matendo yake hayachunguziki kwa akili za kiutu, wewe umejuaje kwamba hayachunguziki wakati una akili za kiutu?
 
Kupitia Neno la Mungu ninaye muamini ambaye ndiye Mungu/Neno ninaye muongelea hapa.
 
Mtume ni mtu au si mtu?
Ahaa kumbe ujaelewa
Ni hivi nikisema bin -Adam(binaadamu) maana yake ni kiumbe wa uzao wa adamu..nikisema MTU namaanisha Homo sapiens woote including Adam.
Mfano bin kisauti...unaspecify ukoo wetu.
SO MTUME MTU .
 
"Ujaelewa" mana yake ni nini?

Na kama mtume ni mtu, na Adam ni Muislamu wa kwanza, na Adam alikuwepo kabla ya Mtume, inakuwaje mseme tena Mtume ni Muislamu wa kwanza?
 
Hilo neno la Mungu unalijua kwa akili za Swala au Punda?

Akili za swala ni za hayawani. Akili zangu zimewezeshwa na Mungu kwa utashi na mapenzi yake na nikachagua pia kuongozwa na Roho Mtakatifu. Labda ni kuulize akili ulizopewa na Mungu wewe Kiranga zinaongozwa na nani? maana Mungu alikuachia uhuru wa kuamua maana wewe si hayawani.
 
Umesema Mungu hachunguziki kwa akili za binadamu, halafu hapo hapo unasema akili zako zimewezeshwa na Mungu kwa utashi na mapenzi yake.

Unaji contradict.

Akili zako zinaweza kumchunguza Mungu au haziwezi?

Pia, hujajibu swali, kama mtume ni Muislamu wa kwanza, imekuwaje Adamu naye awe Muislamu wa kwanza wakati Adam aliishi kabla ya mtume?
 
Akili zangu zina elewa kile Mungu anachotaka ni elewe kwa mapenzi na utashi wake. Na mapenzi yake Mungu kwangu ni kutaka nijue mema na mabaya khalafu akaniachia uhuru wa kuamua nini /kipi nifuate.

Back
Top Bottom