Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani


Zurri habari yako, nakupongezaga sana kwa kua hujawahi kukashifu dini ya mtu kama wenzako/mwenzio huyu mtoa mada alichofanya, hata maana ya sifongo hajui bali amekurupuka.
 

Deus ex machina.

Ukikataa logical consistency, unakataa uwepo wa Mungu.

Unaelewa hilo?
 
Yesu alikuwa muhaini kwa kudai yeye ndiye mfalme wa wayahudi wakati akijua ufalme ule ulikuwa chini ya warumi, na adhabu aliyopata ndio walikuwa wanapata wahaini na wakosaji wengine wakubwa.
 
ACHA KUWAONGOPEA WATU, HIYO SIFONGO ILIYOTIWA SIKI NI KAMA LAPULAPU AU TAMBARA LILILOWEKWA KWENYE VINEGAR. HII ILIKUWA IKITUMIWA KUWAPUNGUZIA MAUMIVU WALIOSULUBIWA KATIKA ENZI ZA ROMAN EMPIRE.
Naam, wewe sasa ndo umetoa jibu sawasawa kwa uelewa wangu. Watakaogoogle vinegar wataona inavyopatikana, kifupi inapatikana kwa fermentation ya ethanol kwenda kuwa acetic acid kwa kutumia acetic acid bacteria.
 

Hata pombe ni chungu, lakini tunatumia kama kiburudisho mpaka enzi hizi!
 
Mungu kafa? AstaghafiruLlah.
tatizo uelewa,mungu sio mtu,mungu ni cheo,kama rais nk,ndio maana biblia inasema ,,mungu wa dunia hii,,wengine mungu wao ,ngo'mbe,,,wengine mungu wao,sanamu,,wengine Mungu wao Yesu,,nk,,usilazimishe mungu unaemwabudu wewe,wote wamfate huyohuyo.kama unamwamini wewe huyo ni wako,usiwalazimishe na wengine,uwe na amani tu,usiwaonee wivu wengine..
 
Yesu alikuwa muhaini kwa kudai yeye ndiye mfalme wa wayahudi wakati akijua ufalme ule ulikuwa chini ya warumi, na adhabu aliyopata ndio walikuwa wanapata wahaini na wakosaji wengine wakubwa.
Sijaelewa, umenisahihisha au ulikua unaongezea nilipoachana napo? Napenda sana kujifunza kwa wengine pia, please fafanua.
 
Kinuri na upendo haviwezi kukaa pamoja, hizi ni sifa zinazoji contradict.

Huu uongo hata mtoto mdogo hawezi kuuongea. Kiburi ni sifa na upendo kadhalika. Hizi tabia zimeumbwa na mwanadamu anazo na Allah anayo sifa hii,bali kwa mwanadamu ni jambo baya kuwa na kiburi ila kwa Mola mlezi ni sifa anuai anayo pambika nayo.

Wewe huwezi kuniambia kwanini kiburi ni sifa mbaya kwa mwanadamu,lakini mimi naweza kukwambia kwanini ni sifa mbaya kwa mwanadamu.

Watu wana viburi na watu hao hao wana upendo kwa vitu wavioendavyo.

Giza tu ndio halikai pamoja na Nuru. Unatakiwa uwe unasoma huku unatafakari.
Mungu mwenye sifa ya upendo wote hawezi kuwa na kiburi.

Unajua kiburi cha Allah kama sifa yake anuai kipo wapi au unakataa sababu wewe ni mjinga ?

Hivi ukiambiwa Allah ana mikono,unafikiri mikono yake ni sawa na mikono yako ? Au mathalani,birika nalo lina mkono je mkonk wa birika ni sawa na mkono wako ? Sasa unatakiwa ufikirie kwa elimu.
Mungu wako ni wa kutungwa, na amefanywa kuwa egotistic.

kusema ni wa kutungwa tu,bila kuelezea alitungwa vipi na nani wa kwanza kumtunga na ilikuwa lini ? Wewe ni mzushi,muongo tena muovu na unaihujumu elimu na watu wake.

Kama wewe unasema kweli,tueleze tu ilikuwaje mpaka binadamu wakamtunga Mungu na ilikuwa lini ?
Kiburi ni weakness, si sifa ya uungu. Si sifa ya intelligence.

Kiburi ni udhaifu kwa nani ? Kiburi ni sifa ya udhaifu wa binadamu pekee lakin kwa Allah ni kamili,ndio maana anafanya mambo anayotaka yeye,kama alivyo waambia kama mnakataa yeye hayupo basi mzuie kifo na wala haulizwi kwa yale anayo yatenda bali wewe ndio utaulizwa na mimi nitaulizwa na wale wataulizwa.
Jibu lako linaonesha huyo Mungu katungwa na watu wanaooenda kiburi.

Usikimbie kivuli chako mwenyewe,usiseme tu linaonyesha bali unyesha lina onyesha wapi ?
Hayupo katika uhalisia.

Naomba uniambie nini maana ya "Uhalisia" ?

Huwa nawaambia sana na nitakariri tena na tena elimu ya maana ya maneno hamjui.

Nipo .......
 
Acha uongo ukitazama tafsiri ya kiingereza Sifongo ni sponge hivyo si silaha yoyote ,Warumi walichovya sponge kwenye siki ndo wakampa Yesu na siki sio sumu bali ni vinegar wine so yesu hakupewa sumu bali Divai iliyochachu sana ,acha kuandika uzushi eti nyongo ya mamba na mifupa ya nyoka uongo mtupu ,fanya uchunguzi kabla kupost
hii apa tafsiri ya kiingereza ya neno hilo
NIV
Matthew 27:48"immediately one of them ran and got a sponge ,he filled it with wine vinegar,put it on a staff ,and offered it to christ...."
 
Sifongo ni kitu gani?
Sifongo ni spoji, just kama ya godoro
Mark 15:36 New International Version (NIV)
36 Someone ran, filled a sponge with wine vinegar, put it on a staff, and offered it to Jesus to drink.


Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Ni sponji iliyojazwa vinegar

Kwa ufupi umepotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…