Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wapogoro jau sana.Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Acha ufala soma gazeti mwananchi ya Leo ndio utajua hujui ifakara ni nyoko, ukifika tu jamaa wanajua wewe mgeni na watapata namba yako, popote wapo, The place wapo, Twins wapo, Asante wapo, TikTok wapo, California wapo, Sayari wapo, Marangu wapo, Malolo wapo, vibaka wa mtandao wa Ifakara ni nyokoKumbe! ngoja TCRA&Polisi wapate hizi taarifa utawapeleka inaonekana unafahamu walipo, unafurahia unawapa sifa.
Jasho la watanzania wenzako linadhulumiwa unasifia eh! pesa ambazo zingetumika kwa ada,matibabu, na chakula.