Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

Hao si ndio Wana hela? Mbu huko Ifakara nasikia ni majanga
 
Sijawahi kufika Kasulu. Ila nimeishi Ifakara na Wilaya za Kilombero, Mlimba, Malinyi, na Ulanga kwa miaka mingi! Hakika Ifakara imebakia kuwa ndiyo kitovu cha biashara kwa hayo maeneo yote.

Sema pana mbu pale mahali! Na joto kali miezi ya mwishoni mwa mwaka. Ila ukija kwenye chakula, samaki na mchele ni bwelele.
 
Kasulu ni Center of bussiness mkoa wa kigoma
 
Hivi kule Station ya Tazara saizi makazi yamesogea na miundombinu mingine ipo? Nilipita kitambo sana.
 
Kuna mtu jana tuu nilikua tunaongea kuhusu hilo, kila mtu akabaki na mtazamo wake, maana kasulu siijui.

Nikamwambia Hata Mbeya Town kwa ifakara inakimbizwa.
Kuna mtu jana tuu nilikua tunaongea kuhusu hilo, kila mtu akabaki na mtazamo wake, maana kasulu siijui.

Nikamwambia Hata Mbeya Town kwa ifakara inakimbizwa.
Duu hiyo Kali kwamba Ifakara Kuna pesa kushinda Mbeya? Basi Ifakara ni Jiji
 
Ukitoa hayo mashirika ya UN huko kasulu nadhani hamna kitu. Ila Wana ardhi nzuri nadhani kila zao linakubali; shida inakuwa soko
 
Ukitoa hayo mashirika ya UN huko kasulu nadhani hamna kitu. Ila Wana ardhi nzuri nadhani kila zao linakubali; shida inakuwa soko
Hapo kwenye Ardhi nzuri ndio napataka Sasa maana bila Ardhi huwezi kuwa Tajiri
 
Ifakara papo vzuri kwa kijana mtafutaji.....kule kulala na njaa kupenda,ukufuga kuku pesa,samaki pesa ngombe/mbuzi pesa,bata pesa,kilimo chochote kinakubali pesa.....yani ni nguvu yako na akili yako tu
 
Leta japo picha kadhaa za Ifakara.

Ka Seoul ni πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…