ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Hao si ndio Wana hela? Mbu huko Ifakara nasikia ni majangaNenda Ifakara utengeneze pesa kupitia kilimo mkuu.
Nimekaa Miji yote miwili Kasulu mazingira ya utafutaji ni magumu labda uwe umeajiriwa lkn hustling za mtaani ni ngumu. Kama umesoma pale Kasulu ndio Makao ya UNHCR na kuna NGO za Kimataifa zaidi ya 50 kamji kaamejaaa LANDCRUISER za UNHCR na Mashirika washirika wa UNHCR. Kuna Udongo mwekunduuu na utelezi wa kutosha wakati wa Mvua.
Ifakara ni bondeni, mafuriko anytime tu, wakati wa mvua tope kama lote kitaa.
Vibarua vyaa mashambani wakati wa kilimo hata kiangazi kwa siku hukosi elfu 30.
Kazi kwako