never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
- Thread starter
-
- #81
University offa kwa tshs 500 unapata dk 30, sms 200, mb 200 masaa 24
Fanya laini yako iwe ya chuo Kwa bei cheeee kabisa . Ni tigo pekee tu
Call me 0714248444 au nitumie sms
Malipo ni bahada ya laini yako kuwezeshwa.
Unaweza uka ni pm au comment namba yako .
Malipo ni Tsh2000/= pesa ya kitanzania
NEW UPDATE 13/01/2019 TIME 11:12
KUTOKANA NA BAHAZI YENU KANITAPELI BAHADA YA HUDUMA SASA NI PESA KWANZA.
bahazi wanakosa ungwana .mtu nakunganisha .unadai ujapata . wengine munanitumia namba za Bibi zenu waliopo ikwilili. Mtu nakunganisha unadai kunilipa Adi kesho .mwengine ampokei simu.
IKIFIKA SAA KUMI NITOA LIST ZA NAMA WALIO NITAPELI
Sent using Jamii Forums mobile app
TAFUTA COMMENT .MTU AKIDAI NIMEMTAPELI KISHA NI TAGNa wewe onyesha kibali ulichopewa kutoka Tigo, isije kuwa ni tapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo usilete ujuaji. Ama unahisi ukiwa huku JF hujulikani???
Jina lako,Team leader wako,na upo Kinondoni(shekilango) na taarifa zingine zote zinajulikana. Sasa usijifanye unajua kuongea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza povu mkuu pambana na hali yako au ulitaka jamaa awe kibaka?Code yako tutaifanyia kazi kuanzia kesho.
Umepewa access ya kuunga laini za chuo kwa watu wanaohusika(wanafunzi chuoni) na umeambiwa uwaunge bure bila malipo. Ww unakuja kutangaza biashara tena mitandaoni.
Kila siku mnaitwa matapeli mtaani lakini bado hamkomi tu.
Uza kile unachoambiwa uuze,na kile cha bure basi gawa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ulipaswa umalizane na viongozi wako.PIA KAWAMBIE KWANINI AWAKUNILIPA KAMISHENI YANGU YA MWEZI WA TISA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mkuu .awajamaa wanyonyaji .niliwafanyia kazi awakunilipa nikiwadai wanatishia kunipeleka kituoniPunguza povu mkuu pambana na hali yako au ulitaka jamaa awe kibaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ulipaswa umalizane na viongozi wako.
Ngoja nkushauri kitu kizuri ili baadae usijutie.
Kampuni imeweka fungu(pesa) kwa ajili ya wanafunzi(wanachuo) waunganishwe katika mfumo wa kupata vifurushi vya chuo,na wamewapa access nyie(freelancer) ili muwaunganishe hao wahusika tu.!
Sasa ww kutangaza humu kuwa unaunga vifurushi kwa watu ambao sio walengwa,maana yake watu wengi watajiunga vifurush vya bei rahisi na wataikosesha kampuni mapato ambayo ilitakiwa ipate ili ijiendeshe.
Kosa lako ni kuhujumu kampuni na pia ni kuikosesha serikali mapato(uhujumu uchumu)
Ukisoma hapo utaona kama nakutishia vile,lkn madhara utakayokuja yapata huko mbele,utajutia hata hizo elfu2 unazopokea sasa hv.
Kupitia namba yako uloweka hapo juu,tumefahamu vitu vingi sana vinavyokuhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meckson mm nshamaliza. Nilikuwa nakuoa ushauri tu. Kupanga ni kuchagua. Mchana mwema
Meckson mm nshamaliza. Nilikuwa nakuoa ushauri tu. Kupanga ni kuchagua. Mchana mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we binti unawivu sana hapo inakuuma kwann sio ww Ni yeye.Meckson mm nshamaliza. Nilikuwa nakuoa ushauri tu. Kupanga ni kuchagua. Mchana mwema
Sent using Jamii Forums mobile app