IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

Futa huo uchafu hapo
IMG_20230515_084258.jpg
 

IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! 🔴🌍

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points 🇪🇬
2. Wydad AC. 175 points 🇲🇦
3. Zamalek SC. 163 points 🇪🇬
4. Pyramids FC. 142.5 points 🇪🇬
5. Al Hilal. 134.25 points 🇸🇩
6. Raja. 127.5 points 🇲🇦
7. Future FC. 125.75 points 🇪🇬
8. Mamelodi 123.5 points 🇿🇦
9. Simba SC. 122 points 🇹🇿
10. FAR Rabat. 114.5 points 🇲🇦

IFFHS
Any updates?
 

IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! [emoji837][emoji288]

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points [emoji1093]
2. Wydad AC. 175 points [emoji1173]
3. Zamalek SC. 163 points [emoji1093]
4. Pyramids FC. 142.5 points [emoji1093]
5. Al Hilal. 134.25 points [emoji1232]
6. Raja. 127.5 points [emoji1173]
7. Future FC. 125.75 points [emoji1093]
8. Mamelodi 123.5 points [emoji1221]
9. Simba SC. 122 points [emoji1241]
10. FAR Rabat. 114.5 points [emoji1173]

IFFHS
Hahahahahah
We jamaa nyuzi zako ndo hua zinakuhukumu tupe sasa new update [emoji16][emoji28][emoji1787]
 
Ni suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu na fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.

Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu fainali na kuweka rekodi zaidi.
Utaenda peponi [emoji123][emoji123] una akili sana
 
Kama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
Hawa ndugu zako huwa wanajiondoa ufahamu wanashirikisha akili zao kidogo sana wanaongozwa na mapenzi zaidi
 
Mamalelod na Simba wanazidiana point moja
 
Ona huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Mkuu una la kuongeza? Maana muda umethibitisja niliyokuwa nikisema
 
Back
Top Bottom